wakuu email inapokuja hakuna kiashirio chochote kwamba kuna email imekuja nimeangalia setting kwenye email hakuna notification naomba kuelekezwa namna ya kuipata,nokia asha 311,asante
Wadau habari zebu. Jamani mi ni mgeni ulimwengu wa ving'amuzi nimekaribiswa na azam. Tatizo langu ni kwamba, sijapata channel nyingi zaidi ya tatu. Kila channel ninayotaka icheze napata info YOUR...
Ndugu zangu habarini za asubuhi,
naomba msaada japo wa mawazo katika hili tatizo langu, cm yangu nokia C3 imekuwa ndio rafiki yangu kipenzi, imekuwa ikinisaidia sana ila furaha yangu imeisha...
natumia laptop dell windows 7 profession ..nimeweka flash ili niamishe data ila cha ajabu programme zote zimebadilika zikawa kwenye FORMAT ya MS WORD.hapa siwezi fanya chochote hata kuinstall...
Hbr,
niliwah nunua betri la simu lenye waranty kwa buku 20 bt linawah kuisha mapema, (8hourz). Katika pita pita kuulizia madukani nakutana na yenye chata "discovery", zungusha macho sioni chata...
Natanguliza heshima,naomba mwenye uelewa wa jinsi ya kujailbreak ipad kwa ni nashindwa kuweka applications mbalinbali kila nikijaribu Ina niambie u have to jailbreak it first,hata raha nayo...
Jaman nina cm yng kla muda inakuja message kutoka kwny android system inanambia eti memory yng imejaa ila nikiangalia memory nafac ipo ya kutosha ss cjui tatzo ni nin na nitaltatuaje hlo tatzo
I removed a battery of my Suzuki Grand Vitara and returned it. On return a radio malfunctioned. It does not work. It displays an error "SEC".
Please advise.
Thanks
I have a Samsung GT 15700 and I normally have no problams with it. But a few days ago i went onto my youtube app and it didnt connect and something came up saying com.google.android.youtube.googl...
Habari zenu ? Mi natumia kompyuta mpakato tajwa hapo juu.
Jana asubuh nilipokua naiwasha ilikuwa inapokea umeme na kuzima,baadae ikapokea na kuwaka ,usiku nikaizima leo asubuh naiwasha inapokea...
nimekuwa nikisiki kutoka kwa watu ambao wanatumia ps3 kwamba flat screen tv is the best kama unatumia ps3. Naomba kwa wale wanaofahamu wanijuze kwa undani juu ya swala hili. Je, kuna tv special...
Wakubwa,
Nina Galaxy Note II, imekuja na sim lock ya Verizon. Ku unlock kwa mafundi naambiwa dola 120. Natafuta njia mbadala kama zipo.
Hivi je, niki flash simu kwa kutumia custom ROM mpya, sim...
Wakuu asalaam
Nina external hard disk yangu size yake ni 1TB aina ni Transcend na ndani ni samsung hdd....tatizo langu ni kuwa leo nimeamka haisomi
Mpaka sasa diagnosis nilizoifanyia ni....
1...
kwa wale wapenzi wa football games uwanja ni wenu karibuni sana kwenye uchangiaji wa mada ifuatayo ambayo itawahusu wale ambao wamekuwa wakicheza:-
(1)PES
(2)FIFA.
Kutokana na kucheza na kuwa...
baada ya kuona uhitaji mkubwa wa different serials crack
nimewaleteeni list hii wadau! ni zaidi ya PROGRAMS 3000 DOWLOAD AND ENJOY!
files zipo zipped kuna attachment ina maelekezo nimeiweka!
Habari wadau...nadhan tunatambua matatzo ya chaji ktk simu zetu za android..mwenye kujua brand namr ya power bank imara naomba anijuze mana zimelua nyingi kweli nowdays had mtu huelewi which is...
Natumia simu aina ya Tecno M3 nilibackup application kutoka kwenye simu kwenda kwenye memory card cha kushangaza haikumaliza kubackup ikazima kuwasha ikawaka ikastack na kuandika TECNO haifunguki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.