Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wadau wa Jf.. Nimenunua tablet Ebay nikafanya payment via Paypal na product ikawa confirmed then nikatumiwa details kuwa "Usually,they ship it via APC international mail" but nimepewa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
"Mambo mengine ni rahisi kunena kuliko kuandika". Baada ya Facebook kununua mtandao wa kutuma ujumbe mfupi, Whatsapp kwa bilioni 19 dola za kimarekani, sasa huduma hiyo itaanzisha huduma za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jaman kwa anayejua maufundi ya kuanlock modem ya zantel ec122 msaada jaman
0 Reactions
3 Replies
904 Views
Wakuu naomben msaada nataka kwenda kuongeza maujuz nataka kusoma graphics designin gharana ya coz ni sh ngp na chuo gan ni kizur kwa ajl ya kusoma pia coz ni ya muda gan Nitashukuru kama...
0 Reactions
2 Replies
640 Views
Hi, wadau kuna mwenye acive or inactive AT&T simcard hapa TZ for activating Iphone5? I have tried to jailbreak lakin stil patupu.... msaada wenu wadau..
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwenye ufumbuzi wa tatizo hli aniPM, ufumbuz usiwe wa kutoa cmos btr wala kuipiga shoti. DEL INSPIRON N5010 inataka system password.
0 Reactions
5 Replies
994 Views
msaada wa creen shot
0 Reactions
10 Replies
1K Views
. After collecting data on its users to sell ads, Microsoft is prepared to offer a free upgrade to Windows 8.1 for Windows 7 users. "Windows 8.1 with Bing," as the name implies, will feed users...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi! My vodacom chip is blocked and in order to unblock it,it needs puk no,am trying to coll customer care with 100 number but i cant make the coll.with respect i apper before u to seek assistance...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
pls my p5 reboot automatically evrytym i on it.plus it will just display tecno on the screen and it will hang. some one please help!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
wakuu kumradhi naomba msaada niweze kutoa sleep timer kwenye tv tajwa hapo juu. tangu niinunue sina raha nayo, inakaa dakika kumi inajizima . nimejaribu kwa rimot yake hata menu yake haileti...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wadau.? Nina biashara yangu ndogo na inahitaji Internet kwa wateja,nimefunga Mifi Fritzbox Router,Sasa naona matumizi ni makubwa mno ya Data nataka Mifi Router iwe inakubali line za...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
. Something serious about your privacy revealed in public by an user of Apple iPhone 5S, right now you just know-Apple has a motion co-processor called M7 Chip that tracks of your motion...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Nina Sumsung Galaxy S3 mpya inagoma Connection ya Internet kila nikijaribu kuiseti inaniambia no internet connection.Bundle kwenye line zipo za kutosha sasa sielewi tatizo ni nini.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
wakuu habari zenu? naombeni msaada WA jiNsi ya kudownload biblia kwenye tablet Yang ya Acer. nahitaji ile ya kiswahili..nawasilisha
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nyuma ya pazia Tunnel Guru na Voda. Nimekuwa na interest ya kufahamu logic inayotumika kuaccess free internet iliyokuwa ikifanywa na tunnelguru na kushindwa kwake. Concept zilizotumika ni hizi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Najua JF ni jumba la maarifa mengi. Wadau naombeni tusaidiane maujanja kwa anayejua namna ya kufanya uendelee kutumia Dstv bila kulipia. Au ulipie kifurushi kidogo (Acces) na uangalie cha juu...
0 Reactions
27 Replies
21K Views
natanguliza shukrani zangu kwa mwenye avtivation keys za DRIVER TOOL prog inayo search na kutoa updates kama kuna drivers zimemis au zipo out of date
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu, naombeni msaada wa setting za kuangalia video Youtube kwenye simu ya Tecno p3. Nilifungua inachukua muda mrefu kufunguka, na ikifunguka unaangalia kidogo tu inaanza kuload tena...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wakuu...naombeni msaada wenu wakuu,kati ya hizo simu mbili kutokana na specification zake,ipi ni nzuri sana kuliko nyingine na kwann???
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom