Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu mwenye kufahamu wapi nitaweza kupata Office 365 ama 2013 dukani naomba anifahamishe na bei yake inaweza ikawa Tsh. ngapi.
-2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna kampuni Tanzania zinatoa huduma ya Dedicated Servers kwa ajili ya Internet? kama ipo nahitaji contact zao. Ps: Sio reseller wa servers zilizo abroad au reseller kwa namna yeyote ile. Wawe...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Hallo. Naomba keys za Avast Internet Security. Asante.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Najua JF in vichwa vya kila aina nisaidieni hili maana ya connection not encrypted Namna ya kuona IP adress kwe andiko kwenye internet cookies kwenye internet maana yake nini asanteni kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pay to get helped with technical issues, research, homework, graphic design, web design. Just click the link https://www.likeplum.com/ask?affiliate=13706
0 Reactions
1 Replies
720 Views
tumia Acronis true image , na uweze ku restore entire computer pamoja na programs na settings in about 20 minutes only. Procedures 1.format computer yako (kama window ina matatizo/virus/corrupt)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nawasalimu. Nilitumia friq 530 na 730, baadae. Ikafungwa nikajappata 714 inaleta list ya chanel nyingi tu ikiwepo Emmanuel ila inaandika No service. Yehoshua Hamochiah
0 Reactions
2 Replies
1K Views
It is difficult to predict how long a laptop battery charge will last because each computer user has different habits and needs. The rate at which you use laptop battery power will determine how...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
'Oldest star' found from iron fingerprint .View photo A photo taken on August 12, 2013 shows the Milky Way in the clear night sky near Yangon (AFP Photo/Ye Aung Thu)...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Ili nione chaneli nyinge bila kulipa za star time naombeni mnijuze niingize namba gani za freuquence,
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Cm yangu imekata sauti, nikizungumza na mtu cmckii sauti hata nyimbo hazitoi sauti naomba msaada wandugu
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Heshima kwenu, natumia dell Gx 520 juzi niliformat wakati naweka windows vista nikajikuta nmefuta data muhimu! Kuna mtu kanishauri nitafute easy us data recovery 7.0 nimedownload ila huwezi...
0 Reactions
1 Replies
710 Views
Habari.. Nina window 8 kwene pc bt tatizo ni kwamba inajiwasha yenyewe bila mm kubonyeza power on button.. Nikifungua tu LID ya pc..inajiwasha yenyewe.. Msaada tafadhl kwa wenye solution ya hii kitu
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wakuu... kama kuna mtu ana tatizo la laptop yake kutokutoa sauti mpaka aweke external speaker...basi ufunguzi wa tatizo lako ni huu....tatizo la hiyo kitu inakuwa zile audio port yaani...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau naomba mnisaidie wapi naweza pata used computers za bei ya chini lakini in good condition, nataka kufungua internet cafe hapo Dodoma. Nataka nianze na kompyuta 10 hivi, i can afford to pay...
0 Reactions
8 Replies
18K Views
Wakuu wapi ntapata mashine ya Diagnostic kwa huku Arusha? kuna taa ya check engine ya prado imewaka sasa garage niliyoenda leo haina hiyo diagnostic computer. 0716-904626
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nawasalim naomba kujuzwa jinsi ya kutambua grade ya gari nnayotaka kununua either ni 1,2, 3 au 4 nipo kwenye mtandao wa tradecarview naomba kujua ni sehemu gani naclick ili niweze kuiona thax
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu ninahitaji projector haraka sana. Mwenye nayo please anijuze na bei tufike muafaka. Pia kama kuna projector zakukodi naombeni msaada wa kujuzwa ni wapi na sh ngapi. Aksanteni sana!
0 Reactions
3 Replies
965 Views
Niliifunga whatsapp kwenye hiyo simu tajwa hapo juu nikaifungua lakini kila nikitaka kuirudishia inagoma msaada wakuu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau Habari zenu, naomba msaada kwa anaefahamu kutatua tatizo langu, nina External HDD naifungua haifunguki namimi staki kui format kwakuwa kuna data za muhimu nazihitaji ntafanyaje ili ifunguke...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom