Wakuu, nisaidieni nina sms notification software na ninahitaji shortcode, hivi ni njia gani nipitie:
Ningependa pia kujua activation charges za telecommunication charges:
Thanks
naomba kama kuna anaejua nini tatizo la tecno Kwenye whatsap aplication mana nilianza na P3 whatsap ikagoma nikanunua M5 ikagoma baada ya muda.hili si kwangu tu pamoja na baadhi ya watu wenye simu...
habari zenu wakuu,
naombeni mnijuze bei ya iphone 4 used na brand new kwa hapa dar..
pia naomba mnieleze wapi naweza kuzipata kwa bei nafuu (used and brand new)..
natanguliza shukrani
Wadau naomba msaada nina simu yangu SAMSUNG WAVE 3 GT-S8600, Ni simu kali lkn haikamati internet,fb, na whatsap naambiwa hamna nimeenda mpaka vodashop wananiambia haiwezi kuwa na program hizo...
Habari Wakuu,
Ni kama wiki mbili sasa JF app katika IOS imekuwa ina crash. Nikii delete app na ku install upya bado tatizo linaendelea. any clue jinsi gani naweza ku solve hili tatizo. au mpaka...
Wakuu,heshma sana kwenu wanaharakati wenzangu,naomba wenye kuyajua magari haya waniambie je yana mazuri na mapungufu gani,na kwa upande wa upatikanaji wa spare na service zake zinagharimu sana...
A rhino grazes at Maasai Mara Game Reserve. KWS will use more advanced technology to counter illegal wildlife trade and stop the loss of major species Photo/KNA
KWS now goes electronic in...
MASELA mi ni mgeni kwenye hii web site
je kuna mtu anaweza kuniambia mchoro[circuit diagram] pre amplifier nzuri kutumia kwenye home theater
ambayo ina weza kutoa stereo
Habari zenu wadau, mm nahitaj kuagiza PlayStation 3 kutoka Ebay au Amazon au popote pale panapofaa,mtandao upi ni mzuri na shipping cost ni nafuu na Ni salama? Kwa kifupi sijawahi kutumia hii...
Mimi Nilikuwa Na Sign In Kwenye Akaunt Ya Gmail Baada Ya Ku Sign In Wakaniambia Niingize Namba Ya Simu Ku Verify Account.Sasa Kitu Kila Nikiingiza Namba Ya Simu.Message Inakuja This Phone Number...
Naomba msaada jamani, kila ninapoweka vocha ya tigo kwenye line yangu wanakata kiasi cha pesa wanasema nimeunganishwa internet ya tigo rafiki, nifanyeje niweze kujitoa, manake natumia nokia ya...
I thought it is good to share this:
There are many different types of displays / touchscreens available across the range of smartphones and it is important that we know about them before buying...
Wakubwa salam.
Nina android tecno p5, nikidownload attachment zinadownload vizuri kabisa ila nikisema nizifungue, zinagoma, inanijibu "cant open the file'. Imekosa application gan ili niitafte na...
salaam,
Niko katika wakati wa kufanya maamuzi kununua ipi kati ya laptop ama zile notebook(wengine wanasema Netbook,sjui ipi ni sahii).
Ningependa kujua tu kitaalam the +ve and the -ve za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.