guys i'm in need of those galaxies...
1* nataka s2 yenye internal memory gb32
1*na yenye gb16
--------
ncheki pm tuongee biashara..
NB:mzigo uwe original n in mint condition...isiwe...
msaada kwa swali hapo chini.
Write Java class(es) which accept ten (10) integer values ranging between zero (0) and a
hundred (100), calculates the average mark, assigns an appropriate grade to...
Nahitaji msaada wadau wa IT, laptop yangu nikiiwasha display inabadilika rangi inakuwa black and white baada ya muda ndio inarudi ktk haliyake ya kawaida, Nifanyaje?
wakuu hii laptop inaniumiza kichwa! yaani screen huwa inabadilika to dark sreen nikiwa nadownload kitu internet au nikiwa ninafanya kazi kwenye program yenye large size kama 5.8GB
Heshima kwenu wazee wa IT,
Nna mdogo wangu nahitaji asome kozi fupi ya IT
(angalau miezi minne)
hivyo naomba kujua ni vitu/program zipi muhimu zaidi za kujifunza kwa kozi fupi?
Pia ni chuo...
How Much Time Have You Wasted on Facebook?
Based on your feed, we'll estimate how much time you've spent on the site. Rest assured, this app will not post to your page or store your data.
NEXT...
Wanajamvi naomba mnisaidie cmu yangu tajwa hapo juu ilianza inastacksitaki kwa muda alafu inaendelea kufanya kazi kawaida lakin kuanzia leo asbuhi screen haisense tena ndo nikaipeleka kwa fundi...
Kampuni ya Motorola ambayo ilikuwa inamilikiwa na Google imeuzwa kwa Lenovo ya China kwa Billioni $2.9.
Kwa maana hii Google wanajitoa kwenye utengenezaji wa simu za mkononi.
Google iliinunua...
Mshindi kwa mwaka 2013
.
.
You think more about your
passwords, so its the time to see
most worst passwords list of 2013.
One of the website SplashData
collects the list of worst online...
Facebook is reaping the benefits of designing its own energy efficient servers. Today at theOpen Compute Summit, CEO Mark Zuckerberg said that In the last three years alone, Facebook has saved...
laptop yangu ni mpya kabisa ina miezi miwili tu na niliinunua dukani ina kilakitu chake lkn nashangaa saizi nikiiwasha inapowaka display inakuwa ya black and white inachukua kamuda kidogo hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.