Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
msaada wenu wakuu juu ya hili thans in advance
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, Naomba msaada wa namna ya ku upgrade Android kwenye mobile. Natumia Sony Xperia ambayo original OS yake ni 4.0 ICS, lakini nataka ku upgrade iende kwenye 4.1 Jelly Bean...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wanajf nahitaji mwenye kujua ni software ipi nzuri kwa kuedit videos naomba aniambie ni ipi ili nieze kuidownload na nataka ambayo ni free kuipata kwenye internet!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kufanya manual configuration ya internet kwenye cm yangu maana kwa automatic inagoma (Android, phone model number ALCATEL ONE TOUCH 918)
0 Reactions
2 Replies
819 Views
Wadau naomba ushauri, vipi hizi simu, zina ubora? Naomba ushauri kabla sijanunua
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nataka kujua kama kuna mtu anatumia tecno q1, anipe detailz zake, imean ukaaji wa chaji, jinsi anavyo iona as a smart phone, je kama inasumbua kitu, coz iwant to for that soon wajamen...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
naombeni msaada kuhusu hiyo modem nikiichomeka kwenye pc inawaka taa tu ila haifanyi chochote na nikifungua mobile partner inaniambia device not detected
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, habari zenu? Ninayo laptop yenye OS ya windows xp.<br>Ninapoiunganisha na internet kila mara inatokeza dialogue kuniambia 'java update available' Mara nyingi naclick na inapakuliwa. Sasa...
0 Reactions
1 Replies
910 Views
Wadau PC ya mwenzangu imekwama!!Iko fully connected kwenye internet lakini browsing inashindikana,nisaidieni wadau
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wadau mi naomba mnisaidie malink ya kupakua magame
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa window 8 kuna hii kitu ya Net framework 3.5 huwa inaboa sana sometimes hasa ukiwa huna internet na unataka kuinstall kitu huwa inagoma..sasa kuna hii njia nimeikuta mahali, kwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Niko wilaya moja ya mkoa wa Mbeya, Nahitaji internet ya matumizi ya ofisini angalau 1MBps. Nahitaji gharama za kila mwezi, kufungiwa n.k Tafadhali TTCL hawahusiki huduma zao mbovu sana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
naomba kujua jamani wapi ntapata wireless card na bei yake inauzwaje???? ahsante
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Msaada wadau namna y kudelete autorun.inf bila ant virus.
0 Reactions
2 Replies
823 Views
Jana alhamisi (20.6.2013)samsung wameto laptop(tablet) inayorun operating system mbili at the same time yaani android jelly bean na window 8,lengo kuu ni kuwapa wateja wao ladha tofauti baada ya...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Wana jamiii nisaidieni, simu yangu inakwama kwama,tatizo sijui ni nini. Wapi Chief Mkwawa et al?
0 Reactions
2 Replies
958 Views
Heshima mbele wakuu.. Naomba mnisaidie jinsi ya kubadilisha lugha kwenye pc, hii mashine nimeipiga window lakini katika hali ya kutokujua nimechagua lugha ya ki-portugal, so nataka kuirudisha...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
naomba msaada wenu maana inanichanganya hii os jinsi ya kufanya partition...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Pana jamaa yangu katumiwa meseji , hajajua hao majambazi walipo, wanamwamuru kuwapa pesa kwa simu ya voda, afanyeje ili ajue walipo hao majambazi , kama pana mtu anaweza saidia kujua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Greetings wana jf. First i know kama kuna member wa hili game basi its likely mtakua mmecome across this setback so please any1 who knw how to solve this i wilk appreciate th help. Okey tangu...
0 Reactions
5 Replies
881 Views
Back
Top Bottom