Wajuvi mimi ni mpenzi wa kutazama movies zenye sabtitle ya kingereza kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kudownload kwenye simu na kisha ionyeshe kwenye TV.
Huwa ninadownload movies kwenye simu kisha...
Simu yangu ninayotumia wiki kama mbili zilizopita mtoto aliiangusha ikawa imeckrack kidogo ila nashukuru haikuwa na effect yoyote, ila nashangaa leo asubuhi nmeamka naona brightness inashake shake...
Kama kichwa cha Habari kilivyo wengine sio ma expert sana jinsi ya kupakua game kali online
Ila mie natafuta wajuz na wapenz wa hili game la "FOOTBALL MANAGER " nataka nijue jins la kulipata free...
Msaada King'amuzi cha azam kinaniletea ivyo shida ni nn
Shifa nyengine nikijaribu kusearch zinakuja channel za startimes sijajua shida ni nn wakati mwanzo zilikuwepo channel za azam
naomba msaada nina lenovo yoga tablet,upande wa keyboard haifanyi kazi full maana ilipata crack,upande wa tablet ya kutouch ni nzima,sasa nineambiwa kuwa unaweza kuweka keybord mpya,mwenye ujuzi...
Wakuu nilifungua ka stationery kadogo nikamuacha binti, photocopy machine ni canon iR2016 I.
Ilikua inapiga kazi vizuri tu nikiiconnect kwenye desktop, sasa binti amenipigia simu kwamba...
Habari members,
Hivi kuna siri yoyote, anayejua kuhusu TV hizi brands kubwa maarufu na za kati kuwa kwenye box za kaki na maandishi meupe then na zenye sifa zile zile kuwa kwenye box za rangi...
Kama tunavyojua Mark Zuckerberg alikuja na wazo la Facebook, Social media na kuwa peoneer katika ulimwengu wa SOCIAL MEDIA na huwezi kuongelea historia yake bila kutaja jina lake tunaweza kumuita...
Habari wakuu,
Nimekuwa nikitumia YoWhatsApp kwa simu A na sasa nimepata simu mpya B.
Nataka chat zangu zote zihamie simu B pindi nikiweka YoWhatsApp katika simu B.
Nimepitia maelezo mitandaoni...
Jina sahihi la processor zilizopo ndani ya simu ni CHIPSET kwa kifupi CHIP. Processor ni moja ya kitu ambacho huisaidia simu yako kufanya kazi kwa ufasini na ni kama ubongo au injini ya simu yako...
Wakuu habari ya nyie naamini mko good kabisa, straight to the point, kuna kimeo hapa cha iPhone SE kina run IOS 14.3 nahitaji kukitoa iCloud lock nimejaribu kuki jailbreak kimekubali issue ilo...
Wadau hivi ni kweli asilimia kubwa ya smart tv na deki zetu hizi huwa hazina uwezo wa kusoma flash ya uwezo wa 64gb kwenda juu?
Note: Flash ambazo ni ORIGINAL.
Maana nimetest kuanzia 8gb mpaka...
Wakuu heshima yenu, nimekuja mbele yenu nikiwa na swali moja tu ni software gani ambayo inaweza ikanisaidia kuhifadhi taarifa za namna hii.
Mfano:
Taarifa za watoto waliozaliwa nchi nzima...
Uamuzi huo utaathiri hadi 5% ya Wafanyakazi wake wote duniani na utaigharimu kampuni kiasi cha Tsh. Trilioni 2.7 katika kujipanga upya.
Kwa mujibu wa Financial Times, Microsoft inatarajia kufanya...
Wapendwa nimeweka Windows 10 kwenye PC yangu aina ya Acer lakini sensor imegoma kufanya kazi naomba kukujua tatizo itakuwa ni Nini na namna ya kutatua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.