Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nina nokia n8 lakini ina tatizo la touch ila nikiirestart inakuwa poa tatizo linakuja pale inapokaa kwa mda bila kui2mia ndo inaanza kuzingua na inapozingua inazingua baadh ya parts za screen na...
0 Reactions
4 Replies
991 Views
Jamani Naombeni Msaada . Jinsi Ya Kuweka Window 7 Kwenye Laptop. Hatua Kwa Hatua.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Any one who know this i need your help please...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
January 8. 2013 Tanzania MWANDANI WA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO Source: mdauwalibeneke (issamichuzi) wa youtube
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kupatiwa freq na sr za citizen na k24 tv za kenya. Natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
12 Replies
12K Views
Wadau msaada wa kuinstall flash adobe player katika samsung tab galaxy tab 10.1inagoma inasema haisupport i wonder na mimi nafanya online courses na inahitaji mozilla firefox je nifanyeje...
0 Reactions
2 Replies
682 Views
Msaada ku unlock voda modem k 3570_z imei; 359592035662413
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu nataka kununua simu nzuri ili niwe naitumia pia kama tablet...je kati ya hizo mbili ipi ni nzuri nataka nikiwa na simu nisiwe na ulazima wa kununua ipad naomba maoni? je nitaipata mlimani...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Wakuu kuna Email kwa sasa imegoma kufunguka na inaload and then inarudi pale pale, Ila Inbox zingine zinafunguka bila shida, na imegoma kufunguka baada ya mwanzo kuifungua na kujibu hiyo email...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
baada ya muda mrefu kampuni ya apple kuwalimit watumiaji wake wa apple device kama vile ipod,ipad na iphone kutumia feature na application zao ambazo zinanapatikana katika apple store tu sasa...
0 Reactions
3 Replies
843 Views
Wakuu naombeni msaada juu ya title hiyo napata tabu sana manake inanilazimu kutumia modem wakati kuna TTCL Broadband Nawasilisha
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Inauzi sana kuna ma-TV station hapa nchini yapo FTA lakini yanarusha matangazo yao kimagumashi sana! Kwa nini hamjifunzi kwa wenzenu? Ni nini shida? Mfano: Channel 10, TBC1, Star TV etc... Natoa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kuna laptop ni dell inspiron 8100 Ukiiwasha inaandika ''PXE-E05: The LAN adapter's configuration is corrupted or has not been initialized. The boot Agent cannot continue, mda mwingne haiandiki...
0 Reactions
2 Replies
736 Views
Salaam, nimepata Macbook sijawahi kuitumia kabisa, nimeshindwa kupata programs za kufanyia kazi kama word, excel etc, ninaomba msaada wa darasa kwa wataalamu na wazoefu. Na kama kuna software...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Vinauzwa posta 48 elfu tu unatazama ligi zote maarufu na local zote
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hi everyone Jamani kuna software natafuta license ya magumashi nimetumia takriban the whole day with no success Sasa nisaidieni known weblinks ninazoweza search na kupata nulled software...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
NASA Probe Snaps Photos of Potential 'Comet of the Century'By Tariq Malik | SPACE.com – 18 hrs ago Email Share Share3 Print Related Content View PhotoThe comet that may put on a...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Jana nilichomeka flash yangu kwenye desktop ya mtu ili kuPrint file lilokuwemo na nilipoiweka baadaye kwenye desktop yangu nilikuta shortcut ya folder iliyoandikwa "Administrator″ na...
0 Reactions
2 Replies
796 Views
Nmekua Nikipatwa Na Tatizo Hili Fo More Than A Week NoW!!! wenzangu Vp??? au Kuna Trick Yoyotee Jmaniii???
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana bodi, Naombeni msaada wenu simu yangu inasumbua kufungua app ya jf na pia nikitumia Opera na UC browser inagoma download chochote yaani hata picha..... Naomba msaada wadau natumia IDEOS.
0 Reactions
2 Replies
605 Views
Back
Top Bottom