Windows 8 recovery options
I have decided to be a news fanboy and start writing articles about new features implemented in the upcoming Windows 8. Pretty much everyone is doing it, so you may see...
Taking care of your cell phone will help to ensure it a long and productive life. These are some of the tips to help you maintain and get the best out of your mobile phone. All these tips also...
Ipi kati ya hizo 2 ni application kali zaidi,na kwa nini??
Wajuzi tufahamisheni zaidi ili tufanye maamuzi mazuri ktk ununuzi wa simu zenye hizi applications
kiukweli napataga taabu sana sijui ni kwanini nina note book aina ya accer yani tatizo lake kubwa haisomi any device ya usb na flash hapo siku za nyuma kidogo ilikuwa inakubali kusoma modem na...
Kwa siku za hapo nyuma, CITIZEN TV ilikuwa ikipatikana katika INTELSAT 7/10,KU ktk Frequency 12.578 v3.100. Lakini kwa sasa haipatikani kabisa,je kuna mtu yeyote anafahamu iwapo wamebadili Frq?
heshima mbele wana jamvi
Wakuu wenye utaalam na haya makitu ya hizi modemu zinazotumia line za aina zote ie tigo,zantel,vota,airtel etc zimekaaje kwenye matumizi. Uwezo wake ukoje? Dowmload and...
Tangaza Marketing Solutions(TMS):
Ni Kampuni inayojihusisha na Advertising,Marketing & Promotions.
Pia ni wakala wa Renew Earth Technology(RET) kwa ajili ya kutoa huduma ya ulinzi wa simu na...
Nipo kati kati ya mawazo mawili kati ya simu hizi
Huawei ascend Y200 ya tiGO na ipod touch 8gb fourth generation
nataka kununua moja wapo ila cjui ipi ni bora zaidi feature na utendaji kwa...
By Happy Lazaro and Joseph Lyimo,Confusion reigns among residents of Arusha of what exactly will happen when Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) honors its deadline for the...
To the moon? Firm hopes to sell $1.5 billion tripsBy By SETH BORENSTEIN | Associated Press 6 hrs ago
Enlarge Gallery A penumbral eclipse of the moon is seen in the night sky in...
nimejaribu keys tofauti nilizogoogle zinanikatalia pls msaada kwa anayeweza kunipatia itakayokubali, hii programme nilipodownload walinipa na key zake nikasahau kuzikopy, sasa nashndwa kutrace
habari! naomba msada modem ya cdma model ec122 inawezekana kua unlocked? kama inawezekana naombeni mnifahamishe wenye uwelewa wa hii kitu
natanguliza shukrani
wadau naomba kuuliza nitawezaje kuzuia email msgs za facebook ninaztumiwa inboz zisilete email kwenye email ya yahoo? na kama nikitaka kurudisha pia nafanyaje
msaada wenu wana JF
Habari yenu wanaJamii, Ninawazo lakukutana na watu ambao tutakubaliana nao kuweza kubrainstorm na kutafuta solutions ya matatizo mbalimbali ambayo yanaizunguka jamii yetu kwa ujumla. Nimetarget...
Ndugu wana jf, naomba Msaada wenu kuhusu hili, Nina mpango wa kununua iPad 4 retina display, naomba kujua Kama inauwezo wa kutumia 3G Internet , maana kwa nilivyoisoma yenyewe ina 4G+cellular...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.