Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwa wale watakaonunua samsung s III and Note II kutoka nje ya nchi ambazo huwa zinatumia simcard za huko tu. Hii njia itafungua sim yako iweze tumia simcard ya mitandao yote ya hapa nchini. Njia...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Niko subscribed kwa DStv, iko uwezekano wa kupata channel ya Emmanuel ya TB Joshua? ni katika channel gani?naomba msaada.
0 Reactions
2 Replies
872 Views
Wanajamii F, nina tatizo kwenye laptop yangu nikisearch video yeyote au ujumbe nitakao, my youtube haifunguki kabisa, naomba msaada, tatizo laweza kuwa nini?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Some might say what? Not K&R? Not Linus? Yeah, today is Miguel. All those you know are great, but let see this man who created so much we use today. WHO IS HE? Miguel de Icaza (born c...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau mwenye game hiyo niliyotaja hapo juu naomba anisaidie tafadhali yangu ime-corrupt haichezi
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nahitaj laptop 13" display 2GB RAM 320GB HDD (au hata 300GB HDD) with 3x3.0 USB ports And optical drive bila kusahau webcam na bluetooth. Iwe Toshiba au Acer kama sio HP (first-hand), nina kama...
0 Reactions
0 Replies
660 Views
naomba mnisaidie kwana nikiweka headphone nasikia auti nikitoa hakuna sauti katika inbult speaker! Nimeangangalia sehem zozote zipo salama!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni jambo la busara na kimaendeleo kuona nchi inatoka kwenye mfumo wa digital na kuingia mfumo wa analogy ifikapo Dec, 30 lakini je wa TZ mnaufahamje huu mfumo maoni yako ni mhim sana?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naam wapendwa wana JF, kwa mara nyingine tena nawaletea portable external Hard Drive mpya na za kisasa kabisa zinazo-support both USB 2.0 and 3.0. Jichagulie external yoyote utakayoipenda kati ya...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
habari zenu, Ingawa kuna mdau alitoa tips za kutofautisha kati ya fake na orignal,ila kuna baadhi ya sifa zipo kotekote mfano orignal iphone huwezi kutouch kwa kutumia plastic materialls ila kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
habari wakuu, kuna laptop yangu dell latitude d620, kioo kina mwanga tu na mistari, rang tofauti hakionyesh maandish mpaka niunge na screen nyengne. Tatizo ni nini? Msaada tafadhali
0 Reactions
1 Replies
702 Views
Habari zenu wana jamii wenzangu ? Katika matoleo mapya ya smart phones mfano (HTC, iPHONES, NOKIA LUMIA) n.k. zinatumia micro sim card yaani SIM CARD ndogo kuliko ile standard size tuliyozoea...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Ndugu wana JF, naomba msaada wa keys za game "euro truck simulator 2" nitashukuru sana!
0 Reactions
3 Replies
873 Views
CLICK HERE TO DOWNLOAD Windows 8 Final Pro . Size=2.42GB Tumia Tixati au uTorrent kudownload hiyo kitu ili tuweze kupata seeds na peers nyingi kwa manufaa ya wote kumbuka hii kitu iko na key...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu kuna mtu kaniambia Zantel wana kifurushi cha TSH 20,000/-kwa mwezi unlimited. Lakini nimecheck kwenye web yao sijaona kitu kama hicho.Kwa kuwa najua kuna watumiaji wa Zantel wengi humu...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
naomba wanaaharuma mnisaidie jinsi ya kudownload office 2007 na kuinstore kwenye laptop yangu maana ile iliyokuwepo dogo kaiunstore,.
0 Reactions
2 Replies
802 Views
wakuu heshima zenu,,,kwanza ni kwamba kuusiana na hiyo issue na access free au?na nilazima niwe connected na net ya modem?na je nilazima hiyo modem iwe na hela? mwaweza kudadavua zaidi
0 Reactions
2 Replies
892 Views
Habari zenu jamani,naomba mnifahamishe tofauti za service ya CRDB ya sim banking na internet banking coz nimeenda kuomba form ya Internet banking jamaa akanipa ya Sim banking na nikimwambia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kama kuna mwenye link ya internet speeed yenye '''sping net''' option atupie hapa kwa manufaa yetu sote shukrani
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nisaidieni ni njia gani naweza kupata internet connectifier hotpost
0 Reactions
2 Replies
948 Views
Back
Top Bottom