salamu sana wanajamvi.naomba msaada nimeinstall window vista freshi ila aina sound nikicheck driver zipo amna kiulizo ila inaniandikia NO AUDIO OUTPUT DEVICE IS INSTALLED
Salaam, Wataalamu wa JF.
Nina maswali yangu mawili ambayo nimepata kuyauliza huko nyuma lakini sijapata jibu la uhakika ambalo limeniwezesha kupata ufumbuzi wa matatizo yangu. Naombeni msaada...
Swali linasema Hivi
Explain the benefit of allowing staff who use the application software at the surgery to be involved in developing some of the features and function of the software...
Machozi yana nitoka...nimenunua hp laptop 999,999 shillingi....nikijua hp ni kampuni ya marekani only to find imetengenezwa China ...maskini sijui itadumu maana vitu vya china kila mara ni feki
ipi ni njia sahihi ya ku-charge simu? yaani inatakiwa u-charge ukiwa umeizima au umeiwasha?
na kwenye laptop ni wakati gani inatakiwa kuwa kwenye moto? ni mpaka iishe kabisa au muda wote?
Wadau naomba msaada wenu, natumia BB curve, kwenye picha inanipa option ya ku hide picha, tatizo
sasa baada ya kuhide sijui zinakuwa zimejificha wapi.....naomba msaada wenu kujuwa wapi naweza...
Wakuu wa kaya habari za mida hii
Nimejitahidi kugoogle lakini sikuelewa vizuri japokuwa nimeelewa kuwa hii gharama yake ni nafuu kuliko ile ya kutumia dish mbili kwa network ya ADSL.Naomba kwa...
habari za asubuhi wan jf leo nimeona tuidiscuss google kwa
undani wake kwa maana ya kampuni kwa ujumla nionanvyo mimi baada ya miaka
10 ijayo kama sio mingi
oogle watakuwa hawana mpinzani ktk...
wakuu husika na kichwa cha thread hapo juu, nina laptop aina ya lenovo G450 na niliiformat baada ya kushindwa kubadili lugha toka kichina.
Baaada ya kuformat drivers kibao hazijarudi ikiwamo ya...
Jamani naombeni mnisaidie ni wiki ya pili sasa sipati internet nikitumia line ya voda...
Tatizo lenyewe ni kwamba nikichomeka modem,inaconnect vizuri tu lakini nikijaribu kufungua website yoyote...
Who Is Connected To Wireless Network?
When you have wireless router to connect wireless then you must know how many people are connected and using your wireless network as I do keep tab on all...
Wakuu nimejaribu ku-install AVG antivirus kwa laptop yangu.Nimeweka license key lakini katika process ya ku-install naona inaandika copying files since yesterday(tar 12) mpaka hivi sasa(tar 13)...
Natumia line ya waridi kwenye cm yangu nipo uganda na nimechoka na kununua bandlez kila cku mwenye maujanja ya kuhaki internet anisaidie,na2mia nokia c2.
Jama socket switch huwa zinaungua kila nikiweka hita kwajili ya kupasha maji je nifanye nini? Kwa sasa natumia eneo lenye xtension sijaona tatizo bado sijajua kama nayo itakuwa na tatizo! Msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.