Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Inasadikika leo saa 6:30 mpk 9:30 miale ya cosmo itaingia duniani ktk sayari ya mars.Hivyo zima simu yako na weka mbali nawe usilale nayo kwasababu miale ni hatari chanzo cha habari ni BBC NEWS...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimesahau security code ya Nokia N8 yangu. Nimejaribu 3-finger hard reset bila mafanikio, na nimebahatisha zile defaults zote(?) 0000, 12345 n.k. bila mafanikio pia. Kuna njia yeyote around hii...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakubwa zangu shikamoni naombe msahada wenu katika hili nina laptop yangu ndogo ACCER ambayo ina WINDOW 7 STATER tatizo kubwa nikiweka flash,modem au usb haisomi kabisa yani mpaka nichomeke flash...
0 Reactions
4 Replies
835 Views
Halloo... najua... hapa kila mtu anaijua mitandao... hii na almost watu wengi... hau ukanda fulani unakuta... wanapendelea+ kutumia network fulani ... vip wana jamii kama unajua promo zote za hawa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Baadae kidogo majira ya saa sita na nusu hadi saa tisa na nusu ya tarehe tajwa hapo juu,Miale ya cosmo itaingia duniani kutoka sayari ya Mars. Hivyo zima zima yako usiku na weka mbali nawe...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Wakuu, naomba mnisaidie kupata New password ya NOD Anti Virus... Aksanteni
0 Reactions
11 Replies
2K Views
nimei install lakini jinsi ya kuitumia ndo inanishinda maana ya mwanza nilikua niki play video inakuja na option ya ku download lakini hii ya sasa haina hiyo option sa ninapata shida na kushindwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nikiweka line ya Zantel kwenye simu 'updated time' inatofautiana na ile ya mitandao mingine kwa dakika 6.Hii inaleta tabu kwa wale ambao kwa kiasi kikubwa tunategemea time ya kwenye simu.Tatizo ni...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Jamani nataka kufanya hii mitihani lakini sijui ni wapi center hapa DAR naweza pata huduma hii. TECHNOBRAIN hawafanyi hii kitu kwa sasa coz watu wengi hawako interested. Please I need...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Watoto wangependa kuwa familiar na keyboard typing, kuna anayeweza kunijalia hii software ya typing?natanguliza shukrani.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inakuwaje number inakubeep ukipiga wanakwambia number hyo haipo ichunguze na upge tena
0 Reactions
1 Replies
779 Views
mie kwenye haya mambo ya teknolojia si mzoefu sana, nataka kununua hivi vilaptop vidogodogo, ktk window shopping niliona hp, dell na sumsung (2gb ram na 320gb hard disk kwa zote), ktk hiz ipi ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mars Curiosity rover stops sampling to check out shiny object seen on surfaceBy Ron Recinto | The Lookout – 14 hrs ago Email Share9 Print (NASA/JPL-Caltech/MSSS) The Curiosity rover is...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Uchawi na ushirikina ni suala ambalo lipo kila kona ya dunia hii. Nimetembelea TARIME, wakati naenda kule nilipita DARAJA LA MTO MARA ambalo kabla ya kujengwa kwake, ilikuwepo PANTON=KIVUKO...
3 Reactions
37 Replies
10K Views
Kama kumbukumbu zangu zitakuwa sahihi kampuni ya kwanza ya simu za mikononi ilikuwa ni Mobitel, ambayo sasa ni tiGO. Kampuni ya pili ilikuwa ni Tritel. Baada ya kutoka kwenye mfumo wa "analogi" na...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Sony has announced yet another redesign to their popular PlayStation 3 console Just like the last one that came out three years ago, this one cuts down on the size and weight by being 20% smaller...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, nilikuwa naomba mnisaidie sana by kunijulisha ni wapi exactly naweza nikapata CD Za Ps3 in large stock i.e naweza nikaorder CD ambayo haipo Dukani.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
naombeni wakuu mnisaidie ni jinsi gani naweza kuunlock cm yangu niliinstall lock in gallery app kutoka ovi store sasa password ninayoifahamu nikijaribu kuingiza haikubali alternative ni nick name...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Napenda kuitumia huduma hii, lakini nimeshindwa maranyingi namna ya kuipata, pamoja na juhudi zangu za kila Mara, bila mafanikio. Kwa unaye fahamu Nisaidie tafadhari. Asante. Sent from my...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari, software tajwa hapo juu nimejaribu itafuta ila nakuta za CS6 tu hivyo nahitaji msaada namna ya kuipata iwe ni link ya kudownload au kuipata katika hard Copy mimi nipo Dar...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom