Tarehe 5 ni nokia world ambapo nokia inatarajiwa kuzindua simu zake mpya za windows 8. Kutokana na source mbalimbali nokia wanatarajia kufanya mapinduzi ya smartphone.
hio picha ni ya nokia...
Katika utafiti wangu wana jamvi
nimeona hizi simu kama zina randana sifa zake, mwenye ujuz na
hizi simu namwomba anipe
Pro. comments abt them
ili nikichukua moja wapo nisije jutia siku za Mbele
Wakuu nipo mkoani karibu na chalinze..nimeanzisha internet cafe ila huku mtandao ni shida sana hakuna cha broadband wala nn..nimekua nikitumia modem za mitandao tofauti kwa speed za edge..nimeamua...
ingia hapa Google Gravity
1.maneno yote na picha zitavutw chini aka gravity
2. ukisearh matokeo nayo yanadonoka
3. pia unaweza kudrag na kurusha anything
Wataalamu hili limekaaje? Jana nilizima computer yangu aina ya DELL(Ya kawaida siyo lap top) vizuri tu. Leo nawasha haiwaki inaonyesha taa ya njano kwenye eneo la power inawaka waka haibadililki...
Wazee kama yeyote anafahamu blog ya manasse anipe link ninahitaji kudownload dictionary itakayo endanda na simu,popote au vyovyote unaweza kunisaidia lengo ni kupata dictionary.
follow the links hii ni ya nokia lumia-920
Nokia Lumia 920 hands-on: the dual-core, HD Windows Phone 8 flagship to take on the beasts -- Engadget
hii ni ya Motorolaz droid Razr
Motorola Droid...
5 of the Most Expensive Apple Products Ever
CNNMoney.com – Tue, Sep 4, 2012 2:30 PM EDT
Email
Share
Print
Think the iPad is pricy? Check out these expensive Apple products...
Naombeni msaada wana JF.
Nikituma message kwa kutumia outlook express napata message hii:
The message could not be sent because one of the recipients was rejected by the server. The rejected...
Gadget makers jockey for edge in holiday lineups
Enlarge PhotoAssociated Press/Marcio Jose Sanchez, File - FILE-In this Monday, June 11, 2012, file photo, Apple CEO Tim Cook walks on stage...
Tafadhari waungwana naombeni kwa yeyote mwenye password ya SCANIA TRUCK DRIVING SIMULATOR anisaidie!?Nimejaribu ku-google na hizi (AZMFX-32YQK-56TAD-EUA9R-Z31Z0) nilizopata hazikunisaidia...
Wadau naombeni nifunguke kwanza kwa kutoa salamu kwa wana jamvi. Ushauri kwa m2 anayejua aina nzuri ya raptop na specification zake azipost kwani nahitaji a new and brandy computer nzuri bei...
Wadau naomba kuelimishwa kidogo kuhusu hili,nahitaji computer(laptop) na kutokana na uwezo mdogo,ntaweza kugharamikia Tsh. 300,000/= tu!
Maswali yangu ni je,1.ni laptop za aina gani zinaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.