Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
eti jamani modem za counterblocked hazijapata simple solution za kuchakachua kama zte, na huawei nyingine?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu naomba kuelimishwa juu ya simu yangu aina ya TECH-COM T71 S imetengenezwa india ni double line, je itakuwa ni symbian ama au ? msaada tafadhali
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hi all, Please naomba msaada wa hali na mali; Je nawezaje kubadili OS ya my laptop ya Windows 7 Ultimate kwenda/kurudi Windows XP Professional? N.B Originall this Toshiba laptop came with...
0 Reactions
4 Replies
986 Views
habari zenu wanaJF, ninaswali nataka kuuliza. Hivi kuna software ambayo ukiinstall kwenye simu inakuwezesha mtu kutuma message kwa mtu yoyote lakini akiipata aone imetoka kwa mtu ambaye wewe...
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Dakika chache nataka nikacheki mpira.Ila nikikonekti decoder ya pili inagoma, inadisplay ''no communication from Primary decoder'' Msaada jamani.
0 Reactions
0 Replies
976 Views
kulingana na sheria ambayo inawalazimisha hawa wenye makampuni yanayotoa huduma ya ving'amuzi hususani(TING)ni kwamba utakapolipia yale malipo ya mwezi ambayo ni elfu kumi,utaona local chaneli...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
naomba msaada wa crack key za antivirus za karsperskey
0 Reactions
0 Replies
979 Views
ni ukweli usiopingika jf unapata taarifa sahihi za kila kitu pale unapohitaji.nimekuja jukwaa hili 5 tech ili nipate abc nataka kununua pikipiki iliyotumika.ni zile honda nyekundu zenye kikapu...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
guys maybe wengi hamfahamu kuhusu hii application, inaitwa vhome hii ni app inayomuwezesha mtumiaji wa nokia s60 kuchange home screen iwe kama simu nyengine za android au iphone zipo pack nyingi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari Jamii. Poleni kwa msiba wa Kanumba ingawa naona kama maigizo vile. Naomba mnisaidie,nataka kununua mojawapo ya bidhaa nilizoandika hapo juu na nimesha fanya mawacliano na kampun hucka. Hivi...
0 Reactions
3 Replies
983 Views
jamani kwa wana JF huku Kijichi umeme ilikatika saa 11.00 alfajiri mpaka sasa hivi saa 2.20 usiku hakuna dalili za kurudishwa tujue walikuwa wanatuzuga kwa ajili mya sikukuu ya pasaka ndo waanze...
0 Reactions
2 Replies
826 Views
Naomba kwa anayefahamu any reputable web hosting and designing company Dar es salaam anifahamishe nahitaji kucreate website kwa kampuni yangu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni njia gani naweza kutumia kufungua bila kuformat? Itakuwa vyema kama mta ni PM please
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Apple released the developer edition of their latest creation, which is MAC OS X Lion Mountain and it has many more features coming soon, but what if your one of the people like me who don’t...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
nahitaji software ya kufungua mafile yenye extension ya .zip kwa simu yangu ya android gingerbread kwani imekuja bila hyo software. Na pia ningesaidiwa wwebsite ambayo ningedownload software...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waadau nahitaji line ya tigo-free internet chapchap kwa mwenye nayo or anayemjua mwenye nayo
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Inakuwaje wakubwa?naomba Link ya OperaMin 4
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Double click on the following link: http://kwiksurveys.com/?u=tabletsurvey
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Nimesikia inawezekana kubadili Symbian OS kuwa Window Pnone 7 kwa simu za Nokia. Je nitafanyaje?
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Salaam wana JF! Naomba msaada wenu. Jana Jioni nilikuwa na compile taarifa zangu za kazi ktk template fulani iliyo ktk Microsoft Office Excel (9.89MG). Baada ya kumaliza kuandaa kazi yangu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom