katika huu utaratibu mpya, nilisikia kuna makampuni matatu yaliyopewa haki ya kuendesha mfumo huo, mawili ni star times, agape, la mwisho sikumbuki jina lake lakini nakumbuka linahusiana na...
Wakuu, kuna mtaalam anayejua kuchakachua hii kitu, ni kwa landline na modem za smartAx mt880. Kama unaweza please tuwasiliane kwa pm tubadilishane. Thanx
Wakuu.
Nimekuwa natafuta njia ya kutumia internet kwenye blackberry kwa chip yangu ya airtel kwa kuchange APN bila mafanikio. Najua ya tigo tu ila nataka ya airtel kwasababu ni cheap zaidi...
nashukuru sana kwa waandaaji wa page hii, kwani tunapata nafasi ya kufahamu mambo mengi sana! niliomba msaada wa kupatiwa lisence key ya PC Performer lakini sijapata msaada jamani. pia nina iphone...
Wakuu natumia dell d 630 ina (wifi) connection inayowezesha kutumia internet iliyojiran kwa kuset tu. Kwa upande wa laptop yangu d630 kushoto kuna batan ya kuswich on wifi kwa kuisquiz ila kila...
Habari
Mimi mwenyewe nikiwa mmoja wao,
knowledge ya computer ni muhimu sana hivyo kwa wenye uzoefu ni kozi gani muhimu tupige dis time tunasubiri matokeo ya vyuoni ambazo zitatusaidia baadae au...
Nimekuwa nikisikia kuhusu mabadiliko ya teknolojia toka mfumo wa analoji kwenda digitali. Naomba nielweshwe mabadiliko haya yataleta ahueni gani kwa mtu wa kawaida. Mfano, Je tutaendelea kudundika...
Wana JF niko mbali na Dar, bahati mbya simu yangu imesumbua mkanda(samsung SGH A797) na omba nipate simu ya fundi hapo town dar niweze kumuuliza kma atanipatia spea.Natanguliza shukrani zangu kwa...
Wakuu naamini wote mpo poa kabisa,nina nokia X7 lakini ni hizi za kichina,nilikuwa natumia head phones,lakini nikitoa head phones inabaki kwenye profile ya headset,haiwezekani kuichange kwenye...
KWANZA INSTALL BLACKBERRY USB DRIVERS AU
Blackberry Desktop Software 6.1.0.35.exe - 4shared.com - online file sharing and storage - download
PILI SOMA MEP NA IMEI NA TUMA(MEP READER...
Naombeni Msaada wenu wa ku unlock hii simu aina ya HUAWEI C2281. Niliinunua simu hii TTCL na ilikuwa inatumia line ya TTCL MOBILE. Sasa hivi siitumii tena kwa hiyo imekaa hapa home kama skrepa tu...
kuna mtu aliishika simu yangu akaweka password kwenye memory card haifunguki kabisa inanitaka niweke hizo pswd sizifamamu.
nimejaribu kuiweka kwenye computer haionekani kabisa. ndo ilo tu wakuu...
Mimi sioni kwanini nikatae kumsaidia mtu ambae anahitaji msaada kwa kitu nnachokijua au ambacho kiko ndani ya uwezo wangu. Mtu anaandika anauza program ya kuconvert video to mp3 is that fair...
nimenunua hiyo sm htc dream yenye os ya android wiki iliyopipa tatizo inahitaji google acount na kila ninapocreate inafail kwa kuandika temporary error contact customer service, sielewi nifanyeje...
Ndg zangu naomba kujulishwa je haya madish ya tv yapo ktk mfumo gani ni analog au digital ?. Na je pindi serikali itakapostopisha mitambo ya analog, je na wenye madishi itabidi wanunue vingamuzi...
Habari... Naomba kuuliza hivi inawezekanaje mtu anasoma msg zote zinazoingia katika simu yako afu ye anasoma kwenye simu yake hizo msg..... Mfano. we una simu yako msg zote zinazoingia kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.