Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba msaada wenu,Nina ipod (30GB) inawaka vizuri ila niki play audio au video hai play lakini picha naweza kuona,sasa sijui nifanyeje.nimejaribu ku connect na itunes ili ni i reset but inagoma,
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kisimu changu kimejawa na virus hadi raha sina! Ukipokea sometimes kinakuja kipicha cha ajabu kama alama za nyimbo na simu inazima kisha inawaka! Wataalam okoeni jahazi!
0 Reactions
1 Replies
491 Views
wadau ninaomba msaada, nataka kutumia adobe photoshop cs3 kupunguza size ya digital photo ( passport) kuwa na 132width, 185height na weight ya 4kb. nimefaulu kupunguza width na height nakwama...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
naomba kama kuna mtu anajua njia nyingine ya kupata configuration za tigo internet kwenye simu,maana nimejaribu njia ya kuandika WAP MODEL YA SIMU na kutuma kwenda namba 500 lakini message ya...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nina external hard disk ya 160Gb sata ambayo nimeifungua kwny case yake ina ka-port kadogo ka usb ndogo, imeshindwa kurespond na data zangu za muhimu sana ziko ndani. Nini cha kufanya maana hata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilikua na download Yahoo messenger jana kwakutumia Modem yangu ya Tigo ilichukua siku nzima toka asubuhi hadi leo ndo imemaliza lakin baada ya kudownload na ku install ikanipa message kwamba...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
juzi nilizima kompyuta baada ya kumaliza kuitumia kwa kufuata taratibu. ila jana naiwasha haioneshi chochote. screen imekuwa grey au white. afu kuna kipindi kama imeonesha black bars.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
naomba kujua nitumie software ipi ili niweze ku edit scan document,nimejaribu ku search lakini naona ni ngumu kupata reliable one,,,
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari zenu wanajamii kunatatizo kubwa katika internet ya Tigo nime experience hku naa kama 48 hours sasa Browsing speed ina matatizo sana.. pages hazimalizi kuload na zingine zinaload tu bila...
0 Reactions
2 Replies
990 Views
Laptop yangu aina ya compaq 610 inatabia ya kukataa software mbalimbali,nyingine niki install zinakubali na zinafanya kazi ila nikirestart tu pc kosa zinaleta error.Mwanzoni nilizani tatizo ni...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Nimefanikiwa ku download OPERAMINI 6.1 Lakini kazi yake siijui ambae anafahamu msaada ili tufahamu nini hasa kazi yake wadau msaada pleaz,,,,,,,,,,,
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Wataalamu wa Mambo naomba mnisaidie Kwenye hii Ovi NOKIa Suite Simu yangu Ni NOKIA C3 nikitaka kuitumia Kama Modem huwa Inaandika HOST Not found tatizo ni nini nisaidieni Pleaz
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajamvi Nimeiibiwa laptop aina ya lenovo C300 rangi ya shaba: vitu mhimu vilivyomo ni pamoja na software mbali mbali nilizozitengeneza kwa kutumia VB na SQL kama vile School management...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Yah kama title inavyosema kuna mtu alinipm anahitaji license yah license za Eset ziko kibao but dont last a day or 2 coz zinakuwa blocked so am going to show you how to get your own valid license...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Heshima wakuu! Naomba utaalamu wa namna ya kujua salio la kifurushi na namna ya kununua kifurushi nikiwa nimeunganisha modem kwenye laptop. Kwa sasa hadi nitoe laini niweke kwenye simu ndio naweza...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu wa Tech, Wakuu wa Tech, kuna tool yoyote ya crack wireless password???i just want to play around guys!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimejaribu kuinstal online imeshuka vizuri ktk instalation setup imeniomba serial numba wakieleza hakuna bure. Sasa wandugu naombeni msaada wenu pengine nachemka tu. Asanteni.
0 Reactions
1 Replies
733 Views
Wadau nina simu samsung SGH A797 ningependa nijue nitajiunga vipi na internet services za voda na tigo. Aksanteni.
0 Reactions
3 Replies
17K Views
Wakuu, Naomba kuwakilisha kama ifuatavyo:- Tunatumia modem ya zantel katika kupata internet katika office iliyo na wafanyakazi watatu nikiwepo mimi mwenyewe. Tumenunua wireless router za mwanzo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
salamu wakuu... niashida ya application ya kulock other application & folders kwenye simu yangu ya nokia5235 ambayo ni s60 version 5(5th edition). napata tabu sana na hii simu maana nimesave...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom