Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nawasalimu wana-tech wa Jamii Forums, Nimepoke computer ya sony vaio model:VPCCB26EC ina processing power ya 64-bit, imekuja pre-installed na windows 7 ultimate 64 bit....but then imekuja na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanajamii naomba mtu mwenye templates nzuri za blogs aweze kunisaidia, natanguliza shukurani za dhati....
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu mambo vp? Tafadhalini sana naombeni msaada wenu wa jinsi ya kubadilisha lugha iwe kiingereza kwenye simu ya HTC TITAN nimejitahidi lakini nimeshindwa kwa lugha iliyomo sijui ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hey guys!... Nilipata tatizo la kusend email kwa kutumia outlook ilikuwa inaleta error 800ccc80, nilifanikiwa kuondoa tatizo baada ya kugoogle na kupata cha kufanya kuondoa hilo tatizo but I want...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninatumia windows xp service pack 2 na niliiactivate kwa kutumia keys, lakini baada ya muda inanipa msg "this copy did not pass genuine windows validation" na kwenye desk top kuna maandishi "this...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natumia OS ya Window XP SP3 ,Baada ya kufanya instaklation juzi,icon ya LAN imepotea kabisa hivyo siwezi kuunganisha BB connection . naomba wana ICT mnisaidie.
0 Reactions
2 Replies
869 Views
Rating Popularity Free Spyware Terminator 2012 (Free) 3.0.0.43 adware and spyware scanner...
4 Reactions
55 Replies
15K Views
Nimeona facebook ni ujinga mtupu.Kindly help namna ya kujivua gamba (kujiondoa)facebook
0 Reactions
10 Replies
19K Views
Nadhani wakati wa kubahatisha umepitwa haupo tena. At TEDMED, Quyen Nguyen demonstrates a molecular marker that makes tumors light up in neon green -- making for simpler, safer surgery. Watch now...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
msaada jaman simu haisomi pdf files........msaada wa haraka tafadhal
0 Reactions
2 Replies
951 Views
Wana jf nimekwama laptop yangu inaandika lugha nisiyoijua(ni kama kirumi au kifaransa) katika option zote za internet browser yoyote inaonekana kuna sehemu imesetiwa na mtu naomba msaada niweze...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini wana jf, mimi nina laptop ya acer 1410 naipenda sana ila kuna cku ilianguka na ikaua motherboard, naobeni mwenye nayo aniuzie ntashukuru sana.
0 Reactions
1 Replies
809 Views
Muktasari wa habari Canada is taking a progressive step forward economically, finalizing its plans to join the likes of Australia and 30 other nations by ditching cotton-based paper money and...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina modem ya Vodafone, Model yake ni K3571-Z Je ni namna gani naweza ichakachua?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina iphone 3g ila bluetoth imenishinnda kutumia nifanyaje ? Nakuombeni mnisaidie
0 Reactions
5 Replies
907 Views
Wakuu, Naomba mnisaidie software ya folder lock maana folders zangu kwenye computer zinachezewa sana na vijana, nimejaribu kudownload kwenye internet lakini kila niliyopata ni demo, nitashukuru...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natumai wakuu wote mu wazima, Nina simu ya iphone 4 nimejaribu kupekuwa lakini sijaona kama ina function ya 3d japokuwa picha zake za video na screen saver zinaonekana vizuri, sasa nauliza hivi je...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo opera mini imenizingu nikaamua kutumia bolt browser kwenye kimeo changu na nikakutana na ujumbe huu "Dear BOLT User, The free BOLT mobile browsing service will be discontinued...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau nina pikipiki aina ya Honda 125XL na naomba mwenye kujua duka au agent anayeuza genuine parts hapa Dar. Nimechoshwa na spare za Taiwan na China.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari yenu wana-jf. Naombeni msaada wandugu. CD ROM yangu haisomi cd/dvd na imekuwa sometime inachagua baadhi ya cd. Naombeni msaada nifanyeje. Laptop langu ni hp pavilion entertainment pc...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom