Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Its not new and ipo katika hali nzuri ...i was using it as an external hdd..... Ni samsung brand........... Contact 0715646466....nipo dsm
0 Reactions
3 Replies
886 Views
Wadau laptop yangu ilikuwa mpya ila baada ya kuitumia kwa mda nikaamua kuanza kutumia internet ila baada ya kuweka modem ikawa inagoma na kuandika kuwa window has stop working nikaipeleka kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau na watumiaji wa blackberry ningependa tujijuze softwares na applications tofauti tofauti ambazo ni nzuri kwa watumiaji wa blackberry na zinapatinana freely...let's share.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu nauliza free host web kwani kila niliyotembele nilazima ulipie hata zile nilizokuwa nafahamu zamani zikitoa huduma ya bure sasa unalipia!!!Je zipo za bure??
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jaman naomben ushauri nataka kununua laptop.! Je nisinunue ipi (why) na nunue ya aina gani na kwann plz nsaidien. Mwenzenu nicje nikadanganywa.
0 Reactions
1 Replies
860 Views
Nina decorder aina ya mediaCom kwa ajili ya FTA channels bahati mbaya nimefuta channels zote sina utaalamu wa kuzirudisha nilikuwa nikijaribu kuingiza frequency mpya za ITV. Pia channel 10...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau heshima kwenu, Nahitaji mtu mwenye battery ya laptop inao fit kwenye compaq presario CQ60 au 61 manake yakwangu imekufa sihitaji ya dukani maana bei ni mbaya mno so kwa yeyote mwenye nayo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ktk kumuenzi steve job wachina wametengeneza casing za iphone 4 nimependa huu ubunifu kwa kweli nimeipenda sana cjui wenzangu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari zenu..kwa wale wataalamu wa haya mambo naombeni msaada..kama kuna softwares za ku instal ama kwenye simu au computer na jinsi ambavyo naweza kuzipata hasa online,na kama kuna chochote cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
My task manager has a "task manager has been disabled by the administrator" message. How did this happen and how can I correct this? • Why: if you didn't do it yourself, the news isn't good. How...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, nina blackberry yangu storm 2/9530 nimeitumia kwa mda mfupi sana, tatizo na shindwa access bb service na internet ila kwenye upande wa kutuma sms na kupokea na kupiga simu ipo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hey and the moment iPeople have been waiting for has finallly arrived download the iOS 5 for ur compatible iDevice...like the people down at apple say iOS the operating system ahead of its...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Juzi nlikuwa naptia thread flan nikaona mchangiaj flan anaongelea kuhusu voda kuwa wana huduma ya internet bundle ijulikanayo kama bomba7 ambayo ni elfu kum kwa wiki na akadai ni unlimited. Jana...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuna misamiti makampuni ya simu yamekuwa yakitumia kuvutia biashara na maneno mengine yanawachanganya wateja bila kuelewa. Mfano kampuni ya apple imeweza kuuza simu zake za model ya Iphone 4g...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SABABU YA KUUZA =NIMEFULIA TATIZO KUBWA ILIYONALO=NILIIBIWA INTERNAL CABLE CHARGER NIMEBAKIWA NA EXTERNAL CHARGER! (kama utaitaka internal charger zinauzwa elfu 15.) INA SPECIFICATION HIZO HAPO...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari wana jf. ningependa kushare nanyi kile nilichokipata kwa wale wasiokuwa nacho, hasa wale wanaotumia cm. kuna program moja browser for mobile phones inaitwa BOLT. Najua wengi mnatumia...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Habari wana Jf, Nina Lap top yangu haikubali kucheza DVD.CD inaonekana ila ukiifungua inaonyesha haina kitu.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Looking for a webdesigner, Not just a web designer but a good one, kama vipi nitumie PM tufanye mchakato. Asante,
0 Reactions
3 Replies
965 Views
Apple today released iTunes 10.5, a new version of its media manager that adds a number of improvements and official support for devices running iOS 5. The next major version of Apple’s iOS...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Natanguliza salamu Wana-JF Naomba yeyote mwenye software ya webcam ambayo sio trial especially cyberlink youcam anisaidie.
0 Reactions
2 Replies
928 Views
Back
Top Bottom