Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
hi kitu inaitwa billing address kwenye credit card ndo nini? ni the same na ile posta au?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
msaada mwenye uwezo wa unlock codes tv mfano satellite tv 36.0e kuna chanel zilizo fungwa kwenye BISS na NAGRAVISION na betacraypt inasemekana uwezekano upo wa kuzifunguwa Kuna-cryptoworks...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
ni kama cku 4 zmepita niliomba msaada jinsi ya ku hack simu yangu, nilifungua ile link ikafunguka nilipodownload kama zip ikagoma sasa nikaenda kwenye direct link nilipotaka kudownload ikasema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimefurahi na hiyo shule wataalam mnayotuletea! naomba mnijulishe pia nawezaje kufanya partition ya laptop yangu...ina system C tu 250GB (150 free space/unused) haina partition na kama kuna...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kila mtu anajua namna virus vya kompyuta vinavyogharimu muda na pesa pindi vinaposhambulia kompyuta ambayo umeifadhi kumbukumbu zako muhimu. Na pia mnajua jinsi wamilikiwa hizi anti virus...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
“We’d like to bring the nuance and richness of real-life sharing to software,” Gundotra said. “We want to make Google better by including you, your relationships, and your interests.” Google+...
1 Reactions
2 Replies
945 Views
Wakuu hii flash yangu ina 8gb nimejaribu kuiformat kwa njia za cmd na njia ya kawaida haitaki kabisa ikifika mwisho inaandika format did not complete any help pls.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ok ni kwamba hapo kabla ilishatangazwa kwamba kuna hacker aliingia JF na visitor message hii hapa: Hello, My greeting to you My name is Shania, single and never married, how are you i hope you...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
WANAJAMII NINA SIMU YA SONY ERICSSON XPERIA ARC, NILICHEZEA PASSWORD MARA NYINGI SASA IMEBLOCK INATAKA username na password, username nimeweka ila password inanigomea, wakuu kuna namna yoyote...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Ninayo website yangu. Nilifungua email account info@kaalamoto.com kwenye hii hii website kule kwenye webmail. Nilizoea kuweka email address yangu na password kisha naingia ndani na nahudumia...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Thank you for using Airtel services. You have already used 0MB of your 0MB bundle, Your remaining balance is 0MB..... kila nikiuliza balance ya bundle wananipa huu upuuzi., je ni kwangu peke yangu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Zitto Kabwe wa CHADEMA ambaye anasoma bajeti mbadala ya upinzani sasa hivi Bungeni amekuwa Mbunge wa kwanza wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia teknolojia ya kisasa kufanya...
30 Reactions
205 Replies
19K Views
MAMLAKA ya Mafunzo na Ufundi Stadi Tanzania (VETA) imesema kuwa wameunda gari linalotumia mfumo wa sola. Mtafiti wa Soko la Ajira wa VETA, Abdallah Mhagama, alisema gari hilo walilolibuni halina...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu nina Pon-Blocker ambayo ime-expire, sasa inablock hata programmes zangu za kawaida, nataka kuiunistall lakini nimesahau password, naomba msaada wa jinsi ya kuiondoa please kwa anaefahamu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, nahitaji laptop ya kununua iwe kwenye hali nzuri, na iwe na hard disk ya 8ogb n above, ram ya 1gb n above, the rest t doesnt matter. Msaaada tafadhari.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mukhtasari wa habari I. France Says Yes to Nuclear II. European Nation Refuses to Let Itself Fall Victim to Paranoia, Misinformation III. Where's American Bravery Now? Kwa habari kamili soma...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Habari zenu wana IS, Jamani nisaidieni. Napata blue screen error nikiwasha PC yangu. Imetokea hivi: Nimenunua mouse mpya ya USB na kuichomeka kwa PC yangu. Nikawasha PC na ika-detect ile mouse na...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Naomba nifahamu ghorofa standard yenye urefu wa mita 20 na upana wa mita 10 inahitaji nondo za aina ngapi na kwa idadi ipi ili kukamilisha ile level ya kwanza tu bila kuhusisha zile zilizoko...
0 Reactions
30 Replies
16K Views
nina dell d430 sasa nimesahau bios password nimejaribu kutoa batt and ram for 3days even a wk lakini still siikumbuki vizuri kila nkijaribu inanigomea na nkiingizamara tatu inazima naomben msaada...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
msaada jinsi ya ku link credit card kwenye paypal, nimejiunga na internet banking ya crbd,bt still inazingua.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom