Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wakuu hizi HP DisplayPort to HDMI 1.4 Adapter zinapatikana wapi na na kwa kiasi gani????????????
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Siwezi kuelezea sana ila naanza kwa kuwakaribisha madevelop tuanze mijadala.. sito elezea saana Css na Html ni nini ila kama ni mjuzi utakuwa umeshafahamu. <!DOCTYPE html> <html> <head> <style>...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nuclear power ni moja ya njia zinazotumika kuzalisha umeme, lakin kumekuwa na changamoto kubwa katika nchi nyingine kuitumia. Sababu mojawapo ni gharama za kuhifadhi high radioactive waste kama...
0 Reactions
1 Replies
661 Views
Apps za WhatsApp na Instagram ambazo zinamilikiwa na kampuni ya Facebook, zipo njiani kufanyiwa mabadiliko ya majina. Inasemekana uamuzi huu umelazimika kufanyika kutokana na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimetoka kuangalia EATV kipindi cha ubunifu lakin nimeshtushwa watu wanatengeneza Internet of things applications wanaita ubunifu serious. Internet of things (IoT) applications kama smart home...
15 Reactions
39 Replies
5K Views
Habari wana JF, ni muda mrefu sana umepita toka kuandika makala kupitia JF lakini tumekuwa wasomaji wakubwa wa baadhi ya maswali ya watu. Siku ya leo tumekuja na ombi la muhimu uweze kutusaidia...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ninahitaji website nitakayoitumia kutoa masomo afya kwa kiingereza kwa lengo la kupata pesa na kutoa Elimu Ya Afya.. Kama unauwezo wa kunitengenezea.... Weka namba nikutafute
1 Reactions
2 Replies
835 Views
Why full justification on the web is a bad idea Printed standards Although digital text has been with us for a long time, both on websites and on displays of various types of mobile devices...
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Habarini wakuu, samahani laptop yangu imepata shida kidogo naomba mnisaidie. PC yangu nikiiwasha inakaa na moto dakika 20 then inazima suddenly (ghafla). Ninatumia external source power yaani...
1 Reactions
8 Replies
851 Views
Wadau naomba kuuliza ni jinsi gan naeza faya ili CPC iwe kubwa wala ata ifike moja tu
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Naomba msaada kwa anayejua gereji kwa Dar yenye mafundi wazuri wa kunyoosha bodi za magari pamoja na kupiga rangi vizuri.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari za asubuhi wana JF. Nina somea computer science level ya degree, nahtaji kufahamu material,njia Na sehemu ambayo nitapractice hizi cozi vizuri kwa muda wangu wa ziada pia naomba guidance...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu nauliza, ninani ambae wmewai fanikiwa kucheza game hili kwenye simu?
0 Reactions
0 Replies
365 Views
Naombeni msaaada simu yangu tecno w2 ina matangazo mengi sana kila napofungua data Tatizo hili ni kero sana yani unakuta ads zinarundkana kila napotaka kuingia au nikiingia kwenye browser,apps au...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar za wakat huu wakuu na wadau wa jf hasa upanfe huu wa tech! I hope wote mko poa na mnapambana na shughuli kama sio kazi au majukumu ya kila leo Baada ya salama nikuelekeze kwenye kichwa cha...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za wakati ndugu vp hapa tatizo ninini
0 Reactions
4 Replies
800 Views
Kwa wenye kufahamu tafadhali simu yangu ya Tecno C9 miezi miwili iliyopita ilikuwa imepata tatizo la kuwaka hadi pale inapoandika neno Hios optimizing 1 app of 1,bila kuendelea na itakaa hapo...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Wadau hii simu inanipasua kichwa na hii tabia ya kuzima na kujiwasha inavyotaka yenyewe.... Tatizo huwa linaanza nikiwasha tu data, inaweza tulia kwa muda ila nikigusa tu baadhi ya app basi...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Karibu wakuu, kwa wale wenye uhitaji wa kurecycle majitaka,hasa ya mashule,vyuo, hostels n.k
0 Reactions
1 Replies
631 Views
Back
Top Bottom