Kwa wapenzi wa games kwa kutumia Simu(Android)
Sasa katika kudownload apk baadhi ya games unakutana na Kitu Kama hiki
(Game size:95mb+1042mb)
Je hakuna namna ya kufanya I'll baada ya kudownload...
Moja kwa moja kwenye mada, naomba kuuliza ni app gani au camera gani kwenye simu inayoweza kufanya picha iwe na background ya rangi moja?.. Naomba kujua kwa anayefahamu ili na mimi niifaidi...
Leo ni wiki ya 2 sasa kila Niki ifungua inajitoa yenyewe halafu ina andika contact your service provider
Hata nikibahatika kuingia nikijaribu tu kuandika thread/nyuzi kuhusu mada yoyote ina...
Habari za muda huu members , mimi nahitaji kujuzwa aina mbili za video call app bora na zenye picha bora anisaidie.
Kuna hizo nilizozitaja hapo juu nimeshawahi kukutumia lakini zina matatizo...
Ukisikia balaa la tecno ndo hili
Aisee tecno cammon 11 ndo balaa tupu camera yake ni nzuri sana
Nina samsung galaxy s8 tangu January ila hii tecno naona inanishawishi niachane s8 yangu
Tecno...
Kiufupi majuzi nimerekodi harusi ya mtu, nilitumia sd card na baada ya kazi nilikuta clips muhimu sana hazimo kwenye card. Clips nyingine zimo na nyingine hazimo. Kazi hii nimefanya mwenyewe na...
Natafuta anaetoa huduma ya bulk sms with fair price anicheki asap, especially mwenye database ya contractors, mafundi dar es salaam na mikoani. Urgent - Thanks
Wakuu; mara nyingi nimesoma shauri mbali mbali humu humu jamii forum kabla hujafanya maamuzi ya kununua gari, lakini hiki kitu cha 2wd 4wd au rear huwa hakizungumziwi sana ktk shauri kwa mana ya...
Siku za karibuni nimekuwa nikipewa sifa za king'amuzi kuwa kuna channels bomba. Nimeanza kushawishika kununua, swali langu ni channels gani zinapatikana humo. Nimesikia TBC, Clouds TV, KBC zimo...
Hodi, heshima yenu wakuu..
Natumia infinix hot 6, betrii 4000 MAH
TATIZO.
Kwa wiki tatu sasa simu yangu imekua na tatizo la kuchaji mwanzo ilikua iko faster sana kwenye kuchaji lisaa limoja...
Ndugu wanajamii
Naomba kueleweshwa namna ya kuweka link kwa mfano utakuta mtu amekuandikia email, halafu anakueleza kuwa bofya HAPA, Ukibofya unapelekwa moja kwa moja kwenye eneo hilo, mashikoro...
habari zenu wanajukwaa..
Hivi karibuni niliflash custom rom kwenye simu yangu ya tecno w4 lakin baada ya kufanya hivo
limejitokeza tatizo la hii simu kutokuwa na speed nzuri ya internet yaani...
Habari za mchana wapendwa,
Laptop ni mojawapo ya vifaa ambavyo vinarahisisha kazi zetu za kila siku. Na sio kila mtu anaweza kuafford laptop mpya. jambo hii hulazimisha baadhi ya wadau kutafuta...
Habari zenu,naomba mnisaidie apps nzuri ya kupata namba ya nje zamani nilikuwa natumia namba niliipata primo nikaibiwa simu lakini nikijaribu kuidownload tena primo haionekani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.