Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Msaada, Nina simu Blackberry ila siwezi kuitumia kwenye Internet na Jamaa zangu wa karibu wameniambia kuwa lazima niende makao makuu au sehemu ambayo ni branch ya mtandao ninaotumia ndipo...
0 Reactions
18 Replies
12K Views
Wakuu natumia HP elitebook, leo herufi Baadhi zimeacha kufanya kazi zikibonyezwa...suluhisho ni mini?
0 Reactions
6 Replies
868 Views
Habari wana jf wote humu wakubwa kwa wadogo natumai mko wazima wa afya na Kuna mgonjwa mwenyezi mungu amponye me nilikua nahitaji ufumbuzi kuhusiana na keyboard [emoji446] ya pc [emoji335] yangu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu amani iwe nanyi! Simu yangu imekuwa haifungui whatsap nikiweka data on , lakini nikiwasha WIFI halafu nika connect na simu ya jirani whatsap inafanya kazi. Nimejaribu kufuta vitu vingi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
..... Naomba msaada. Simu yangu Tecno Y3 inakubali internet kwa WiFi tu. Hasa kwenye Play store na Google search engine... Nifanyeje?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kila kampuni ya simu ina apps tumizi zake ambazo lazma zije na simi,pamoja na nyingine kuwa ndani ya simu[kwenye system]mara nyingi apps hizi hazipendwi sana na watumiaji kwahiyo huonekana kama...
3 Reactions
26 Replies
7K Views
Habari wakuu? Naomba kuuliza hivi hizi simu Za Tecno ambazo battery zake ni unremovable pale inapotokea simu Umekaa nayo muda mrefu imefikia hatua haikai na charge, vipi battery zake...
1 Reactions
3 Replies
651 Views
Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zangu. Nahitaji kuboresha blog yangu, naomba mnisaidie kujua mambo yafatayo: 1.kubadili background nitumie nayoitaka mimi 2. Kuweka mda rasmi mtumiaji...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Natumia mtandao wa tigo. Kila nikiweka bando kwa ajili ya kuperuzi linaisha ndani ya dk5 hata ziwe GB1. Kinachotokea nikwamba nikiweka tu bando simu inaanza kupokea notification za ajabu ajabu na...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Tech and gaming
0 Reactions
1 Replies
445 Views
Katika pita pita zangu leo mtandaoni nimekutana na kitu kizuri sana kuhusu mwenendo wa teknolojia nchini mwetu Tanzania. nimekutana na mtandao mmoja hivi mzuri sana unaitwa mayocoo. MAYOCOO kwa...
1 Reactions
45 Replies
6K Views
Kama title. Inavyojieleza, baada ya wezi kunichapa system nzima sebuleni kwangu, nimeamua kujikongoja tena kinyonge Ku-restore vitu nilivyoibiwa. Naanza na flat screen TV, uwezo wangu mwisho ni...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ninatumia IDM kwa ajili ya kudownload file mbali mbali kwenye browser..... ÷Nimewasha computer nikapata notification kuwa "IDM has crushed".. ÷chakushangaza zaidi browser zote nazo hazifanyi...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Ku surf kwakutumia web browser imeongezeka kasi, pia na zile usumbufu za ads kwa kukosea kuzibonyeza hakuna tena. Am free.
1 Reactions
5 Replies
929 Views
Nauliza mwenye uweO was kupata decoder ya beIN sports ningependa kunua mwenye information yoyote kuhus hiyo decoder anifahamishe
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natumaini wazima, Niende kwenye mada, simu za tecno zinadharaulika na wengi sjui kwanini.. kwa upande wangu nilinunua tablet ya tecno 8h mwaka 2015 December, asee hadi leo ipo na inapiga kazi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watafiti wa kiusalama (Security Researchers) Wamegundua malware inayo semekana inaendelea kukua kwa kasi sana ambayo tayari imesha ambukiza vifaa vya mikononi (mobile devices) zaidi ya milioni 5...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimeona ndugu yangu katumiwa SMS na airtel kuwa google playstore itafungia smartphone ambazo zinakosa neno certificate kwenye playstore setting kama inavyoonekana hapo chini naomba ufafanuzi juu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
As salaam 'alaykum warahmatullaahi wabarakaatuh Na'am, in shaa allaah leo tutajaribu kuwekana katika hali ya usawa kuhusiana na jinsi ya kupata real views kwenye youtube channel Amini usiamini...
0 Reactions
7 Replies
11K Views
Habari Wakuu Naomba tuelimishane mambo kadhaa kuhusu huu mfumo wa nishati inayotumia upepo (Wind turbine energy system). 1. Mahitaji/vifaa gani hasa (muhimu) vinavyohitajika ktk mfumo huu. 2. Kwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom