Naombeni msaada kama kuna mtu mwenye code za php zenye uwezo wa kugeuza data to pdf file anisaidie
Maana nimetumia za ajax ila naona zijakizi vigenzo nnavyotaka
Pia hata javascript poa...
wakuu kicha cha thread kinajieleza nipo natengeneza Data base, sasa nahitaji database management systeam(DBMS) kama microsoft SQL server
sasa mwenye msaada wa link ya kuipata hiyo server ili...
Nimeunganisha deki na TV. Nikichomeka USB Ili nisikilize music. Lakini haifanyi kazi. Inaniandikia hivi
Nimehangaika naona siwezi kutatua. Msaada wenu. Natumia HOTPOINT TV.
I'm the queen of...
huku mkoani hasa nikiwa nimesubscribe kwa unlimited ya Mwezi unakuta mara kadhaa kwa wiki spidi inakuwa 2g, ukipiga wanasema kuna tatizo ila saa sita usiku spidi lazima iwe nzuri sometimes mpaka...
Wakuu naomba sehemu nitakayoweza kusomea Programming full course na niwe certify kabisa na nipate cheti za hii course asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani voda noma 500 unapewa sms 500 ,mb 500 na dakika 50 hii vyuoni tu na speed yake iko poa.
Yaan nimemiss hiyo offer nipo likizo nilizoe kushusha vampire diaries.
Wataalam hatuwezi kuhack hii...
Wadau ninaomba mwenye kujua setting za internet za hawa halotel kwenye android phones
Name: HALOTEL
Apn: b_internet
Then save.
Ila me nimeset hivi;
NAME: Halotel
APN: Internet wap
PORT...
Wakuu kama kichwa kinavyosema tatizo hili limeanza hivi karibuni Nikipiga picha haionekani Kwenye gallery inaandika "cant generate thumbnail"
Nawasilisha
Habari za majukumu wana jf.mara nyingi napenda sana kusoma vitabu softcopy lakini. tatizo langu ni moja, naombeni mnisaidie namna ya kuweka alama ya rangi sehemu niliyoishia kusoma ili...
Nataka kununua kwa wale wataalamu, je naweza kupata Local TV za hapa Tanzania na nchi za jirani.? Kama kuna maelezo ya ziada sio mbaya ukiniongezea.
HDMI 1080P VGA DVB-T2 DVB-T TV Box AV to VGA...
Wakuu;
Nmefanya 'hard reset' kwenye Tecno W2 lakin shida imekuja kwenye 'gmail account verification' kwani 'previous gmail account' iliyokuwa signed in ni ya muda mrefu hvyo details zake...
Intel leo wamezindua generation ya nane ya CPU zao itakayojulikana kama kabylake refresh, kwa sasa wamezindua CPU za laptop tu, uzinduzi wa desktop na tablets utafuatia baadae.
Kwa wale...
Wahandisi wa Masuala ya Kompyuta nisaidieni.
Ninayo computer hapa DELL INSPIRON 2200 inatumia Windows XP. Kinachonitatiza ni kwamba najaribu kutumia simu aina ya Samsung ili kupata wireless kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.