Naomba mnisaidie.. nina modem ya Huawei inatumia tigo 173u-1 sasa nimejalibu ku unlock imekataa.. basi naomba mnisaidie kama kuna app katika PC inaweza kuditect modem kutumia line tofauti wakati...
Za asubuhi, leo nmeanza siku vibaya,
Nmekosea Kutuma Meseji na nmetuma Meseji na picha (nikiwa na mchepuko) kwa mke wangu, Meseji haijawa delivered na wife yupo safarini.
Mwenye ushauri wa...
Wahenga wanasema haraka haraka haina baraka Kampuni ambayo inaongoza kwa kutoa matoleo mengi kwa muda mmoja ikifuatiwa na Techno Leo imesitisha Rasmi utengenezaji wa Samsung Galaxy Note 7 na Seven...
Imeeleza kuwa sim hizo zinatatizo katika mfumo wa injini zake ambalo hisababisha kulipuka au kuungua wakati mwingine kusababisha madhara makubwa kwa watumiaji wake.
Kazi kwenu watumiaji wa Note7...
wakuu habari zenu....
jamani mi nna shida kama kuna mtu mwenye registration code ya data recovery ya wondershare
anisaidie au kama kuna msaada mwengine wowote kuhusu data recovery naomba nipewe mi...
Natumia line ya Zantel sasan najiuliza waliona ugumu gani kuweka hiyi sim card? imeandikwa cdma.
Huko cdma kuna kitu gani kipya sana wasiweke line?
Hizo simu za cdma ndo zikoje wakuu? inamaana...
Wapi naweza ku download ngoma za mbele au hata za kibongo zenye album art ....nilizoea itemvn.com sasa naona imefungiwa....iliyopo so kama ile ya zaman
11 October 2016
Samsung imetoa wito kwa watu wenye simu aina ya Galaxy Note 7 kuzizima mara moja huku ikifanya uchunguzi kubaini ni kwa nini simu hizo, hata zile ambazo kampuni hiyo ilikuwa...
Habarini jukwaani,
Kabla sijaenda kwenye tatizo naomba kukiri kwamba Mimi ni mshamba wa Apple devices..Ila ukali wangu wote ni kwenye device zitumiazo Android OS.
Kwa kama mwezi Sasa natumia...
Jamani kama kuna mtu kapata link ya kudownload latest version ya GBWHATSAPP (4.91) naomba aweke hapa kuna link wametoa ila inakataa
http://www.gbmods.co/?p=19
Msaada kwa aliyepata link nzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.