Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
HABAR, Wakuu hiyi kitu inaitwa .cerber3 ransomware, ni kirusi kibaya zaid ya kilichowahi kutokea dunian kwa sasa Kinafanyaje kazi: kinaingia kwa njia za kawaida kama kirus kingine tu, ila...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Jamani ni lini itakuja hii simu nasikia ni hatari vibaya kuliko hata hawa sumsung
0 Reactions
76 Replies
10K Views
Swali langu ni hili,sim yangu ya Samsung galaxy S4 inaweza kusupport 4G na nawezaje kuifanya iwe na 4G? Au ndo originally haiwezi kubadirika?
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama kichwa cha Habari kinavyosema nitatoa hela kwa atakaye nisaidia mbinu ya kuRoot Huawei y3ii yangu maana nimejaribu kila mbinu na kila app za Android pamoja na za Computer ninazojua...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Msaada kwa app ya kubadilishia front styl kwa H6..
0 Reactions
2 Replies
507 Views
Habari, Natumia Vodafone hizi za android ila kila nikijaribu kuset details za email kwenye App ya email, naletewa taarifa kuwa nmekosea email au password ilhal naingiza kwa usahihi. Naomba mwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wapendwa.... Naomba kwa anaejua website isiyo na longo longo ya kudownload nyimbo aina zote atupie hapa..... NB... Waptrick kuna nyimbo nazikosa.... Tubidy tangu ibadilike inanishinda...
0 Reactions
53 Replies
14K Views
Habari zenu wakuu... Jana nimenunua simu kwenye tigo shop Simu aina ya Tecno N2 Ila inatumia tigo tu kwa sim1 ambayo ndo yenye mtandao mkubwa Hivyo naomba mwenye ujuzi na ufahamu wa kuifungua ili...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kichwa cha habari kinajieleza wadau nilifanya factory data reset nikajikuta nimefuta vitu vyangu vya muhimu kama picha videos na mafaili mengine, tafadhali naomba mnisadie ni apps zipi nitumie...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu Habarini ya mida hii, napenda kuwatangazia kuwa bado offer inaendelea Kwa yeyote anayehitaji website au project yeyote ile iwe system au webbase app, tuwasiliane Kwa namba hii 0687535650...
0 Reactions
2 Replies
545 Views
Wapendwa wanaJF, Nina tatizo kwa simu yangu. Simu yangu ni iPhone 5 nyeupe ambayo nimekuwa nikiitumia kwa muda wa mwaka mmoja sasa, lakini hivi juzi imejiblock na kuandika iPhone is disabled...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Beauty camera . inafanya hiyo proces ila ntawawawekea picha kuzibitisha. Asanteni kwa mchango wenu woteeee [emoji182][emoji182]
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakubwa leo jioni wakati natoka kwenye mishe mishe zangu za hapa na pale nimeangusha nokia yangu ya tochi ila ina security code,je mtu aliyeokota anaweza kwenda kuflash ikakubali kama...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu habari za muda huu, Nimesahau pattern ya simu naomben ujuzi naifunguaje simu hii
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Anayefahamu namna ya ku boost na ku promote bure tuwasiliane pm.Nipo tayari kuununua huo ujuzi
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba procedures za kujail-break ipad angu ios 9.3.4 ili niweke whatsapp version ya jailbreak......
0 Reactions
2 Replies
665 Views
Habari wakuu Siku mbili zilizopita nilileta Uzi unao husulivr TV apps nzuri za kuangalia TV kwenye sim yako ya smart phone Leo nakuja na hii ambayo utaweza utaweza kuangalia TV za hapa home kama...
5 Reactions
31 Replies
11K Views
HABARI WAKUU MSAADA KWA ALIEWAHI KUKUTANA NA HII ISHU Microsoft office professional plus 2010 encountered an error during setup NIMEJALIBU MICROSOFT OFFICE KALIBIA ZOTE BADO NAPATA UJUMBE HUU ILA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ipad imekata netiweki, huduma zote zitumiazo intaneti kwa mfano JF na kusoma habari mbalimbali sipati, naomba msaada wadau nifanyeje?
0 Reactions
3 Replies
634 Views
Mimi ni mwanafunzi bado wa advance na nimechukua mchepuo wa arts(HGL). Nimekuja mbele yenu leo ili niweze kupata msaada maana Nahitaji kuwa na utaalamu wa maswala mazima ya CCTV na Security...
1 Reactions
2 Replies
757 Views
Back
Top Bottom