Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wale wa zte modems ambao wanatafuta software ya kupiga na kupokea simu na hata kuingiza vocha na pia mms pakueni hapa Free File Hosting & Video Downloads, Free File Sharing, Online Friends...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu nina document nataka nizitume sehemu sasa najiuliza Simu yangu ina Camera Nzuri je naweza Kupiga Picha? Ili nizibadilishe ziwe katika mfuno wa PDF kisha nikazituma? Vipi kule akitaka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Guys nina Lenovo Laptop yenye specifications zifuatazo: Processor: Intel(R) Celeron(R) CPU N2840 @2.166GHz 2.16GHz RAM: 2 GB System Type: 64-bit OS: Windows 8.1 In short hii Laptop ni pasua...
0 Reactions
5 Replies
777 Views
Nina laptop yangu case (housing) yake imeisha, Kwa yeyote mwenye case ya Toshiba settilite 650 tuwasiliane wakuu 0687535650
0 Reactions
4 Replies
622 Views
anaefahamu activation code ya windows 8.1 jamani naomba anisaidie au jinsi ya ku activate hiyo window please wakuu maana kila mara napata ujumbe wa kuactivate window kwa maana hiyo product key yao...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa kubadili jina na kufuta post humu jf
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za muda leo asubuhi nimewasha simu yangu nikakuta imeweka wino kwenye kioo naomba mnisaidie kutambua tatizo kama linavyoonekana hapo kwenye picha
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Samsung is recalling its new Galaxy Note 7 smartphone worldwide after reports of the device catching fire while charging. The recall of one of Samsung Electronics' flagship devices is an...
1 Reactions
5 Replies
955 Views
Laptop yangu inaniandikia "Media test failure, Insert boot disk"" na maneno mengine mengi, tafadhali naomba msaada, ni ACER used nimenunua miezi 3 ilopita. Tatizo limedumu tangia jioni hii.
0 Reactions
7 Replies
862 Views
Simu yang p5 haisomi OTG CABLE but kwenye H6 inasoma so sijui tatizo
0 Reactions
5 Replies
733 Views
Wakuu natumia huduma za halotel naombeni msaada Wanasema kwa TZS. 999/= unapata 600MB za (KASI) mliowahi kutumia baada ya Kuisha hizo 600MB Speed ina drop around ngapi (I mean Downloading Speed...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajf. Nimebuni wazo la kuanzisha Hub ya innovations. Hivyo natafuta vijana 9 walio serious tuunganishe nguvu ili tuwe na hub yenye nguvu ambayo itakuwa inakusanya na kuendeleza ubunifu wa...
0 Reactions
0 Replies
625 Views
nahitaji msaada juu ya hiki kitu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu Naomba msaada jinsi ya kuroot hii smu kwa sababu naona kama siifaid inavyo paswa.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari JF, Taarifa ambazo hazija thibitishwa ni kwamba ile search engine pendwa ya torrentz.eu imefungiwa pia. Kwa sasa ukiingia katika hiyo link hutoweza kusearch kama zamani, utaletewa ujumbe...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Heloo!! Habari zenu wakuu naomba kusaidiwa jinsi ya kupata fedha youtube maana nasikia tu kwa watu youtube unaweza kugain money sasa mimi kwangu ngumu naombeni maujuzi yenu.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello Wana JF Tech Nimepata idea Moja Kwa vile Naweza Nunua Vitu kupitia Online Mfano Ebay na Aliexpress pamoja Na Alibaba Vikanifikia Je Ninaweza Kutumia Njia Hii Kununua Vitu Vingi Then Nikaja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naombaeni msaada wakuu. Nikitaka kuistall apps nilizotumiwa kwa cm transfer zinaniambia there was a problem of parsing this file kama sijakosea. Naombeni mnisaidie maana Nina files nyingi sana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa au kuelekezwa namna ya kutumia laini mbili za mitandao tofauti kwenye simu moja, mfano nipate sms zote za magroup ya laini hizo kwa muda mwafaka, natanguliza...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Natengeneza BLOG ZA WORDPRESS kwa TZS 3,000/=(Elfu tatu tu) na kukufanyia settings zote za subdomain: mfano www.abc.wordpress.com. Natengeneza Animated web banner,kwa wale wanaotaka kuweka...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom