Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Salama wanajamii? Hivi kuna asasi yoyote inayoweza kupokea Business Plan/Proposal na kutoa mkopo kwa ajili ya kilimo cha mazao ya biashara?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wajumbe, nimevutiwa sana na kilimo cha umwagiliaji wa matone hasa kwa kilimo cha kahawa eneo nililopo hivyo basi ningeomba wazoefu na wataalam wa kilimo wanisaidie juu ya vifaa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
msada ipi ni mbegu bora ya pilipili hoho hasa nyekundu na njano, na bei yake
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Naomba kuuliza, hivi inawezekana? Nataka kufuga Kuroiler kwa ajili ya nyama hadi Chrismass niwauze kwa ajili ya nyama. Mabanda yapo na nitakuwa nawalisha chakula cha kiwandani. Imebaki kama...
0 Reactions
50 Replies
9K Views
Habari zenu. Nimeskia SUA Morogoro wanauza banda (pre-made) la kuunganisha ukifikisha shambani kwa sh. Mil1. Kuna mtu mwenye taarifa hizi?
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Welcome to nginx!<br /><br />Ceos Tanzania hub ni group la whatssap linalokutanisha Wadau wa biashara kutoka mikoa Tofauti Tanzania lengo ni kujadili, kupeana Elimu inayohusu Uongozi, Ujasiliamali...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
NORDICDRY Ni kama cotton' Inakuwa kama mfuko una hanger. Kazi ya hiyo ni kunyonya moisture, Kama kuna mazao ktk ghala ukiweka inanyonya moisture kwa hewa. Ikijaa inakuwa na maji unatupa. Box moja...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Wewe uliyeajiriwa upo ofisini, acha kudhalau na kuwaona vijana kama hawana jipyaa kisa wapo tu wanasubiri ajira Eti nendeni mkalime huko vijijini, akishalima, akavuna apeleke wapi?? Viwanda...
4 Reactions
31 Replies
5K Views
Salaam wanajamvi,Baada ya kuwa msomaji na mfuatiliaji mzuri wa makala na ushuhuda wa wafugaji hapa jukwaani nikashawishika kuwaanza hii shughuli.Wiki iliyopita nikaenda morogoro nikanunua matetea...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Nenda kanunue unenepeshe!
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Ninaomba ushauri nahitaji kununua incubeta kwa ajili ya kutotolesha mayai naomba nijue ni haina gani ya incubeta inafaa na mchanganuo wa bei hata zinapopatikana
0 Reactions
0 Replies
981 Views
KILIMO CHA MAPARACHICHI KIBIASHARA. http://kilimoforum.blogspot.com/2013/12/kilimo-cha-maparachichi-kibiashara.html
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau naomba kuuliza, ni wapi zinapatikana mbegu za mbaazi kwa mikoa ya Mbeya, Iringa Njombe na Ruvuma?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mimi naishi mjini, wala si mkulima kwa practice, bali kwa taaluma. Mwaka jana kuna mbolea ya ruzuku 'ilikuja' mtaani kwetu nami nikajipati mfuko mmoja UREA na miwili ya DPP. Nilichukua nikaweke...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
naomba msaada wa uundaji wa vikundi biashara(Commercial Producer Groups) hasa kwa wakulima ninatakiwa kuwawezesha wakulima wangu sina hata pa kuanzia
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naombeni kwa walio na uzoef wa ujenzi wa mabanda ya kuku. Nataka nifuge kuku wa kienyeji 80-100. Naombeni design ya banda ya kuku inayofaa kwa idadi hyoo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kipindi cha Baba Wa Taifa miradi mingi ilianzishwa. Vipindi vilivyofuata ubinafsishaji ulifuata. Mali nyingi zilipewa waekezaji na hazikuendelezwa tena na kufanya uchumi udorore. Baadhi ya miradi...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Salamu kwenu wana jamvi! Ninataka kutumia maji ya mto uliokaribu na shamba langu hapa kijijini kwetu. Ninapata usumbufu toka kwa watendaji kwa madai ya kusimamia mazingira! Naomba mwenye uelewa wa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Sasa tatizo la aridhi kati ya wakulima na wafugaji limekuwa kubwa karibu mikoa yote ya Tanzania. Wananchi wanapoteza maisha na wengine wanakuwa walemavu,je serikali ina utaratibu gani kuepesha...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
MBEGU BORA ZA MBAAZI ZIMNAPATIKANA SASA... QUALITY PIGEON PEAS SEEDS AVAILABLE NOW Habari, Kwa wale wanahitaji mbegu bora za Mbaazi (zimethibitishwa na TOSCI) sasa mbegu zinapatikana Dar...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Back
Top Bottom