Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Habari zenu wapendwa, kwa muda mrefu nilikuwa napitia na kusoma mambo mbali mbali kwenye huu mtandao, sasa nimeamua rasmi kuwa member, naombeni mnikaribishe. Ahsanteni
2 Reactions
85 Replies
4K Views
Ninaomba kupokelewa humu ndani , niweze kujifunza pamoja na tuweze kubadilishana uzoefu wa mambo mbalimbali. Shukrani kwa wote
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hodi humu JF. Naitwa Efram ni member mpya naomba kukaribishwa
2 Reactions
15 Replies
923 Views
New member [emoji137]‍♀️
1 Reactions
4 Replies
612 Views
Habari zenu guys mimi mgeni humu
0 Reactions
14 Replies
820 Views
Habari, mm ni mgeni naomba nikalibishwe!
4 Reactions
13 Replies
851 Views
Hellow am Elisha from bongo Dsm aka drizzy wa tz pamoja sanaaaaaaaaaa
0 Reactions
2 Replies
602 Views
Nimekuja kufungua mwaka humu ndani,HAPPY NEW YEAR
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Naombeni Ukarimu na Ushirikiano wenu!'
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Baada ya kusoma post za wakuu kwa muda mrefu leo nimeingia rasmi jf hodi hodi..
0 Reactions
14 Replies
900 Views
Hod Hodi humuu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hi,I'm thandi.. This is my first time to be here, bt nimeona majina mingi yanachekesha are those real names kweli!? Lol Anyway let's socialize I'm not bad either.
2 Reactions
7 Replies
732 Views
Habari zenu wadau, Naombeni kujiunga nanyi humu
0 Reactions
8 Replies
942 Views
Nakujaaaa
0 Reactions
1 Replies
487 Views
Mm mgeni humu
3 Reactions
55 Replies
4K Views
Habari wanajamvi. Ni busara kwa wageni kusalimia wenyeji. Naomba ushirikiano wenu, waungwana
0 Reactions
2 Replies
667 Views
Nimekuwa mfuasi mzuri sana wa jamiiforum kwa muda wa miaka mitano sasa ila sikuwa na uwezo wakuchangia mada na kuweka nyuzi kwakuwa sikua msajiliwa humu jana nimechukua maamuzi ya kujiunga na kuwa...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Hodi Humu Jamvini.
0 Reactions
5 Replies
718 Views
Naitwa Johanece Protace Mchunguzi wengi wananiita JPM natokea Bukoba nami nimekuwa member wa JF. NAWAKUBALI SANA MEMBER WOTE WA JF
1 Reactions
3 Replies
642 Views
Mgeni wenu humu naombeni ushirikiano wenu wana jf
2 Reactions
13 Replies
812 Views
Back
Top Bottom