Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Salaam Wakuu. Naomba kujuzwa namna ya ku-edit profile. Natanguliza shukrani kwenu.
0 Reactions
7 Replies
714 Views
Bwana Yesu asifiwe HAslaam alyeikum Tumsifu Yesu kristo Kristo Peopleeeessss Ccm oyeeeee Cuf.... Shukrani za pekee zimwendee alieniumba na viongozi wa jf kwa kunipa ruhusa ya kujitambulisha...
1 Reactions
34 Replies
1K Views
hodiii wanaJamiiForums..natumaini mtanikaribisha vizuri kijana mwenzenu..ahsante
1 Reactions
14 Replies
949 Views
Mauno TV
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Salam sana wakuu, CYBER hapa mgeni lakini bado mwenyeji nilikua natumia jf kabla ya kuja kuwa member lets be together
0 Reactions
4 Replies
655 Views
Am new member plz welcome me
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Mimi nipo Jamii form kwa miaka minne ss. Ila huwa nakua na ingia toka nying. Naomba ushirikiano wenu
0 Reactions
5 Replies
701 Views
Ndugu wana JF nawasalimu katika jina la Mungu. mimi ni member mpya kabisa humu ndani, ni matumaini yangu kuwa mtanipokea na natarajia kujifunza mengi kutoka kwenu. asante.
1 Reactions
48 Replies
3K Views
Mimi pia mgeni wenu.hodi
0 Reactions
3 Replies
481 Views
Nimekuwa mfatiliaji wa JF kwa takriban miaka miwili sasa na nikavutiwa na mada moto moto zitolewazo humu ndani pamoja na watu makini wenye uwezo wa kujenga hoja kama vile kiranga , na wengineo...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kelvin miho
0 Reactions
14 Replies
966 Views
Niaje humu wenyej
1 Reactions
13 Replies
795 Views
Jmn wazma humu ndugu zangu?
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Kwamara ya kwanza nimejiunga na jf naombeni mwaliko wenu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi si mwenyeji wa humu, mipokee tafadhari.
2 Reactions
5 Replies
651 Views
Hodi waungwana mimi ni mgeni humu naombeni ushirikiano wenu
0 Reactions
6 Replies
662 Views
Hodii!
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Naomba ushikamano wenu me mgeni kbs mnipokee tu!
0 Reactions
19 Replies
1K Views
habar ndugu!!nimerudi tena naomba mnipokee!!
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni humu ndani, nimekuwa napitia kwa muda sasa 'as a guest' kiukweli JF ni sehemu inayofanya mtu usiboreke. Kilichonivutia zaidi ni upatikanaji wa habari kwa haraka, kila unaposikia...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom