Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Leo ndo leo siku ambayo nilikua naitaman kujiunga na jamii foram,leo yametimia.mmenivunja mbavu zangu kwa muda mrefu na coment za wachangiaji.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Namshukuru mungu kwani nimefanikiwa kuwa jf member.Naombeni mnipokee great thinkers japo sina uhakika kama wote humu ni ma great thinkers.Mungu awabariki
0 Reactions
3 Replies
603 Views
Je vigogo waliosimamishwa kazi katika Wizara ya maliasili Mkoani Arusha wako huru?
0 Reactions
3 Replies
810 Views
Bi shost nimeingia Jf naomba mnikaribishe wadau
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari zenu makamanda wote wa jukwaa hili?naomba mnipokee ktk jukwaa hili...one love....
0 Reactions
5 Replies
766 Views
Wajamen
0 Reactions
5 Replies
779 Views
nipokeeni jf
0 Reactions
5 Replies
607 Views
Mie mgeni naomba mnipokee tafadhali
0 Reactions
7 Replies
862 Views
LONG TIME sana nilipokuwa membe wa mtandao huu,baada ya kupotezwa na majukumu kibao hatimaye i'm back again kusongesha gurudumu
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi ni mpya humu,naomba mnipokee,love you all jf members!
0 Reactions
11 Replies
984 Views
Jaman siku zote nltaman kuwa memba wa humu ndan leo ni shangweee!humu ndan kutamu kwel,hakuna mawazo mawazo humu!!nahtaj ushirikiano wenu
0 Reactions
4 Replies
831 Views
Jamani mi mgeni nipokeeni. Na sijui kama nimepatia jukwaa kama nimepotea jukwaa mnisamehe wakuu si unajua ugeni jamani..!!
0 Reactions
6 Replies
801 Views
Jamani mimi mgeni humu naombeni ukaribisho wenu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani nami nimejiunga na watu wa fikra pana naombeni ushirikiano wenu wa dhati! asante NAWASILISHA
1 Reactions
7 Replies
1K Views
any body can say welcome to me!?
0 Reactions
4 Replies
693 Views
Nipokeeni wana jf,wale wa Manyara mpooooooo?
0 Reactions
2 Replies
721 Views
Mie ndo nimeingia rasmi leo ndani ya great thinkers, nilikuwa msomaji mzuri nawashukuru sana members wa humu nimejifunza mambo mengi sana mazuri humundani yani hii ni shule tosha ya kimaisha...
0 Reactions
4 Replies
870 Views
Mambo vipi?
0 Reactions
6 Replies
905 Views
Natumia jina linaloonekana juu hapo Karl Marx na naomba wanajamvi mnipokeeee!!! nmekuwa nikifuatilia jamvi hili kwa mda sana nikaamua sasa nami kujiunga ili niweze kushiriki. Asanteniiii
0 Reactions
6 Replies
951 Views
helllooooooooooooooooooooooooooo........!!!!!!!!!!!!!!! am new member in this site so i need your cooparation
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom