Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Kwa muda mrefu nimekuwa mtazamaji tu wa JF na kwa hakika nimekuwa addicted mno na hoja na mijadala ya humu kama mgeni tu, hatimaye na mimi baada ya kuitafuta njia ya kuingilia JF ili niwe mwenyeji...
0 Reactions
11 Replies
987 Views
Mimi ni mgeni hapa jf ila nimevutiwa sana kwa mawazo na ushirikiano wenu katika kusaidiana naomba mnipokee vyema ili tuendeleze hizi harakati. Ahsanteni
0 Reactions
9 Replies
955 Views
Naitwa Aziz,for sure nmevutiwa na mtandao wa great thinkers,so please naombeni mnipokee mwenzenu na me niweze kuwa great thinker pleease
0 Reactions
9 Replies
916 Views
Habari zenu wadau, Naomba mnipokee kwenye Jamii iliyo na kila kitu nami niweze shiriki Natangulisha shukrani Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
10 Replies
928 Views
Pamoja sana ijapokuwa kitambo nipo nanyi.Akili ile ile ila sura mpya.
0 Reactions
3 Replies
665 Views
habari za humu ukumbini ladies and gent
0 Reactions
8 Replies
963 Views
Mambo wanajamii wenzangu..nimejiunga humu kujua jinsi dunia inavoenda na kuweza kubadilishana nanyi mawazo aisee,pamoja tunawezaaaaa....... Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
0 Reactions
6 Replies
915 Views
nimerudi tena kwa username mpyaaa!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
I'm proud to join the esteemed forum. Wajumbe nawavulia kofia maana nilikuwa msomaji kama mgeni tu ktk jukwaa hili. Nimeona sasa nijiunge ili nipate full access. Mnipokee tafadhali
0 Reactions
5 Replies
678 Views
Habari zenu wanajamvi!!nipokeeni jamani!!
0 Reactions
4 Replies
799 Views
habari zenu wana member,me ngeni naombeni munipokee.
0 Reactions
8 Replies
789 Views
1.mimi ni mjasiliamali. Shughuli zangu ni biashara, hivyo ninampenda sana m2 anaejiamini na kufanya shughuli halali zinazomwingizia kipato ili kuhakikisha mkate wa siku unapatikana. (2) napenda...
0 Reactions
3 Replies
937 Views
Hellow
0 Reactions
6 Replies
804 Views
Hello JF Family,
0 Reactions
5 Replies
669 Views
Wana JF naomba mnipokee,nawakubali sanaaaaaaaa!!!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mambo vp wana iv huku kuna kuadd mafrend kama facebook? Naomben mnijibu wana
0 Reactions
10 Replies
951 Views
:israel::israel:
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nipokeeni jmn
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hamjambo wanajamii wenzangu?
0 Reactions
7 Replies
830 Views
Hello GT..!
0 Reactions
8 Replies
745 Views
Back
Top Bottom