Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hodi hodi wana jamvi mgeni ndo hivyo naingia nahitaji karibishwa jamvini niketi busara tupeane ikibidi tucheke
0 Reactions
2 Replies
650 Views
So far registration counts ni kama hivi: Registered Members: 99,998 Hongereni sana mliokuja na idea hii. Mungu awabariki
0 Reactions
5 Replies
1K Views
mambo vp wanajamii
0 Reactions
4 Replies
687 Views
wakubwa shikamooni, wadogo marahabaa....:israel:
0 Reactions
3 Replies
750 Views
Wakuu nawasalimu wote nadhani mu wazima bali kwa wale wenye madhaifu basi Muumba wao awarejeshee kilichopungua na wapate kufurahi pamoja nasi. Kwa wale waliotangulia mbele ya haki basi nasema...
0 Reactions
7 Replies
812 Views
habari za kwenu wapendwa?natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi mimi nipo k'njaro nahitaji dar.asanteni.
0 Reactions
2 Replies
645 Views
tutakuwa pamoko siku zote
0 Reactions
3 Replies
554 Views
Wana JF nipokeeni
0 Reactions
3 Replies
805 Views
hodi hodi jembe lnaingia wana jf
0 Reactions
4 Replies
874 Views
Najisikia fahari sana kuwa member wa jukwaa hili makini na mahari. Nikaribisheni basi wenyeji wa humu...
0 Reactions
2 Replies
795 Views
Jamani sina Balaa ila kama ukilitaka utalipa, naomba ukaribisho kijijini hapa jamani. Stori za huku kwetu ukizitaka nitakusimulia ila sharti uwe na moyo mgumu maana ni za kusikitisha na kuogofya sana.
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Hellow old members. Iam new. Say welcome
0 Reactions
3 Replies
791 Views
Nimekuwa guest kwa muda mrefu sasa nimeamua kuja rasmi,nipokeeni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mie member mpya hooooodi wadau!
0 Reactions
3 Replies
611 Views
nawapenda wana jamvi,pls mnipokee! Naahid kulinda na kuheshm sheria za jf! Mungu nisaidie
0 Reactions
7 Replies
746 Views
Hi!
Naombeni mnipokee.
0 Reactions
3 Replies
698 Views
Naomba ukaribisho,ukiwemo pia na mwongozo kutoka kwa wanajamii
0 Reactions
4 Replies
728 Views
Hoooodiiii!!! wenyej jaman me ndo naingia hivyo mnipokeeeeeeee?
0 Reactions
3 Replies
708 Views
Back
Top Bottom