Hello wandugu, Salaam. Naombeni mnisamehe kwa kuingia kimya kimya tangu 16/01/2012. Kwa kweli nakiri kuwa kwa muda huu mchache niliokuwa humu nimejifunza mengi sana kutoka kwenye jukwaa hili...
Mi ni member mpya kwny hii safu ya Jf naombeni mnipokee kwa moyo mmoja na mkunjufu plizzz... Natanguliza shukurani za dhati kwa memberz wote wa Jf, Ahsante.
Samahanini kwa kuwa nilikosea nikawaingilia kichwakichwa bila kupiga hodi. Nimejisahihisha sasa naomba kuingia rasmi.
Hodi jamvini. Nimekuwa nikifuatilia JF tangia zamani lakini nilikuwa...
Nimetamani kwa muda mrefu sana kuwa nanyi katika kisima hiki cha mjadala kwani nimekuwa nikifaidika sana kwa kusoma mawazo yenu.Nami sasa nimeona bora nijiunge nanyi ili niweze kutoa mchango wangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.