Kila nikiangalia idadi ya wanaoatembelea Jamii forums kwa wakati mmoja nawaona wageni ni wengi sana kuliko Members, natoa wito kwa GUESTS *kujisajili ili kuwa na uwezo wa kuchangia Forums...
Ndugu zangu,ndugu zangu wenye fikra pevu....naungana nanyi mimi Raia mvumilivu mwana wa Tanzania natokea huku kijiji cha mwananchi wa kawaida.
Tuko pamoja.
Wana JF,salaam! Awali ya yote,nitakuwa sijautendea haki moyo wangu,kwa kuto washukuru! Kwani,pamoja na kuto kuwa ni "mmoja wenu",kwa muda mrefu,kwa kupitia hapa JF,nimejifunza...
Wakuu hodi huku chumbani, mwenzenu nimechoka kulala chumba cha wageni.
Nategemea kumkuta binamu yangu malaria sugu huku ili tushirikiane kwa kazi hii. na wengine naomba tuvumiliane ili tujenge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.