advance vs diploma

  1. I

    Naomba ushauri, mdogo wangu aende Advance au chuo?

    Kuna mdogo wangu ambaye amemaliza form four ana ufaulu wa 1.14. ana penda kusoma nursing, radiology au MD. Je ni bora aende advc au chuo mojakwa moja? Naombeni maoni yenu wakubwa🙏🙏
Back
Top Bottom