computer systems and networks

  1. kevoomarcus

    Naomba details kuhusu kozi ya Computer Systems and Networks

    Habari zenu waungwana. Nmeapply kozi ya computer systems and networks katika chuo Cha ardhi kwasababu napendelea sana ujuzi wa maswala ya computer. Je hii kozi inajitegemea, haihusiani na computer science au computer engineering?
Back
Top Bottom