hosteli za wageni dar es salaam

  1. covid 19

    Msaada: Nataraji kupokea wageni, wapi nitapata hosteli jijini Dar es Salaam?

    Wakuu habari za leo, Natarajia kupokea wageni kutoka Malawi kama wanne hivi na wana budget ya chini sana. Sasa na watakaa mwezi mmoja hapa sasa naomba kufahamishwa sehemu ambayo nitapata hostel kwa ajili yao.
Back
Top Bottom