icbm

  1. green rajab

    Russia yaitwanga Ukraine na RS 26 ICBM lenye uwezo wa kubeba nyuklia

    🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Mtoto ka utaka acha apakatwe atulie. Jeshi la Urusi limeanza kuitwanga Ukraine kwa makombora tiifu ya RS 26 linaloweza kusafiri bara moja hadi Jingine bila kuzuiliwa lenye kasi march 5 ambayo hakuna air defence yoyote ya NATO iliyopo Ukraine inaweza ku puch...
  2. ITR

    Nini tofauti kati ya ballistic missile na ICBM?

    Wazee tuelimishane kidogo hivi no tofauti gani kati ya ballistic missile ya kawaida na ballistic ICBM missile. Maana kuna taarifa nimeiona kwenye chanzo kimoja cha kijeshi kinasema kuwa Iran imefanya majaribio ya kombora lake la kwanza la ICBM. Mimi ninavyo jua ballistic missile ikisha kuwa na...
Back
Top Bottom