Habari ya leo wana JF,
Ninawakimbilia tena mnielekeze namna ya kuitunza na kuisafisha friza! Nashukuru Mungu baada ya kuwauza kuku wangu wa urithi nimenunua haka kafriza ili kanisaidie niwe nauza barafu kwani eneo nililopo watu wanapenda sana barafu!
Ninaomba ajuaye anielekeze namna ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.