kuvimba mgongo

  1. Mwachiluwi

    Nimepatwa na shida ya mgongo kuvimba

    Hellow Nimepata shida ya mgongo baada ya kuanguka kwenye malumalu niliteleza wakati mvua inanyesha nilikuwa nachota maji sasa bahati mbaya ile napanda ngazi tu nikala mueleka nikajua nakufa kifo cha Kanumba. Ndio nikajikuta nimeamgukia mgongo jana nikaenda kupiga x-ray nikaambiwa niko vizuri...
Back
Top Bottom