mabango barabarani

  1. Dseni

    Kutoa mabango ya matangazo barabarani bila taarifa si sawa

    Manispaa ya Ubungo wameng'oa mabango mbalimbali barabarani huku wakiacha mengine yakiwepo. Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa ya kuondolewa kwa mabango hayo lakini ghafla tunakuta yameondolewa. Mimi bango langu la kanisa limeondolewa bila taarifa. Nipo Goba (Kulangwa Six). Yeyote anayejua...
Back
Top Bottom