KARATU, ARUSHA
Mwaka 1996,
Sikumbuki ilikuwa ni mwezi gani ila ninachokumbuka ilikuwa kwenye miezi ya kiangazi wakati kanisa la kisabato lilipoandaa mkutano mkubwa wa injili (effort) mjini Karatu mwaka 1996. Ninachokumbuka ni kuwa makanisa matatu ya kisabato yalishirikiana ambayo ni SDA Karatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.