namna ya kuishi kwa furaha

  1. Etugrul Bey

    Don't take things Personal

    Kuteki mambo kibinafsi ni hali ya ubinafsi uliopitiliza, au kwa lugha nyingine, umuhimu wa kibinafsi. Hii ina maana ya kujipa kipaumbele kuliko kitu kingine chochote. Na huo ndio mwanzo wa maumivu yako, kama hujui. Yaani, unajiona mwerevu, hukosei, na unastahili kilicho bora. Hivyo, mtu...
Back
Top Bottom