namna ya kwenda uingereza

  1. allanwales

    Msaada: Taratibu za kufuata kwenda Uingereza

    Niliwahi kuishi UK na nikarudi nikiacha ndugu zangu kule sasa nawaza nawezaje kurudi kuwaona. TARATIBU GANI NIFWATE AU ZIFWATWE ILI NIWEZE PATA VISA NA VITU VINGINE ILI NIWEZE KWENDA KUONDA NDUGU ZANGU?
Back
Top Bottom