palm village

  1. Technophilic Pool

    Mlionunua apartment ghorofani juu kabisa Palm Village au Magomeni apartment, mjue mnaishi ndoto yangu

    Salam zenu ninyi mnaoishi ndoto zangu. Nitakuja kuishi siku moja tuwe majiranj😎
  2. GENTAMYCINE

    Kwa aina ya Mademu wa Kibongo wanaopishana Kutwa pale Kwake Palm Village na huyu Mwingine Stress za Kushea Mrembo na Boss nilijua tu yatawakuta

    Kocha Yanga SC Miguel Gamondi amejibu maswali wanaohoji wachezaji wa Yanga Stephane Aziz ki na Khalid Aucho kuwa na kiwango cha chini kwenye mchezo dhidi ya KMC Azam Complex. Chanzo Taarifa: manaratv Yaani Mademu wa Kibongo hasa wa Tabata na Sinza wakujue ni Star halafu una Hela wakuache...
  3. Under-cover

    Gharama ya kununua apartment Palm Village

    Wakuu habari, nina swali kwa mwenye ufahamu, hiv mfano ile apartment ya Palm Village, inawezekana mtu kuamua kununua ile room complitety ikawa yako jumla? Maana nina ndoto hizo soon Na vipi ukinunua ina maana suala la umeme, maji litanihusu mimi tu sio?
Back
Top Bottom