Salam ndugu zangu wana jamvi.
Naombeni maarifa ya kuepukana na changamoto ya ugonjwa wa ngozi "MELASMA". Nimekuwa mtumiaji kwa zaidi ya miaka mitano (5) wa hii bidhaa ya MAGIC POWDER, ku-shave ndevu. Ila kwasasa imeniunguza sana mashavuni (usoni) na kifuani (wakati napaka ilikuwa inadondikea)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.