shukuru kawambwa

  1. Huihui2

    Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

    Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya Jakaya Kikwete kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo. Kwenye clip anaonekana akiburuzwa na vijana kwenye changamoto ya viwanja eneo la Bagamoyo. Mafao ya ubunge...
  2. jajithebest

    Namchukia Dr. Shukuru Kawambwa

    Salaam Wanajamvi Mimi ni mwanafunzi wa Thaqaafa Mwanza, kiukweli waziri wa elimu namchukia Sana pamoja na baraza la elimu hiii. Ni kwa sababu ya kuharibu mfumo mzima wa elimu na kutuletea BRN Viongozi wengi unakuta wakijinadi katika majukwaa Kwamba Serikali imejenga shule maabara za kutosha...
Back
Top Bottom