Wakuu GT
Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Niliinunua CDya huyu dada mara ya mwisho kama miaka 10 iliyopita (ilikua 2013) kwa sababu nilivutiwa sana na nyimbo zake. Kwa...
Ripoti zinaeleza kuwa risasi zilizokutwa nyumbani kwa mtuhumiwa wa mauaji ya Rappa TUPAC Keefe D hazifanani na maganda ya risasi zilizokutwa eneo la tukio alipopigwa risasi Tupac mwaka 1996.
Kwa...
American Top 40 [05/13/2023]
LW TW Artist-Title Peak So Far Weeks at #1 Weeks On
39 40 Meghan Trainor - Made You Look 05 24
38 39 Post Malone/Doja Cat - I Like You (A Happier Song) 01 [4 weeks @...
Wakuu habarini ..
Kwa wapenzi wa movie naombeni mnitajie movie kali latest zinazohit kwa kipindi hiki ,,ili usiku nianze nazo maana sina info. Juu ya movie yoyote kali zilizo be released...
Binafsi kama mdau mkubwa wa sana ya muziki, hasahasa ule wa Afrika. Hizi siku mbili nimesikiliza album mpya ya msanii kutoka Nigeria, Omah Lay. Niseme tu, mimi kama shabiki mkubwa wa huyu msanii...
In the rec room of an apartment building on Sedgwick Avenue, an eighteen-year-old Clive Campbell throws a back-to-school party with his younger sister Cindy.
Friends and neighbors dance to the...
'Chai'
Aisee hili neno linakata mdadi sana humu jamiiforums. Mtu ameamua kuleta kisa chake ambacho anaamini kwa uzoefu alioupitia anaweza kuwasaidia watu wengine kimtazamo na yeye binafsi kupata...
Kwenye Huu Wimbo, msijikite kwa mistari pekee inayohusu Mwalimu Na Mwanafunzi,, Sikilizeni KERO na Maisha halisi ya Mwalimu wa Tanzania.
Angalieni Mazingira ya Maisha ya Mwalimu kuanzia Mavazi...
Hawa jamaa kutoka Kenya walikuwa na international flow, walikuwa ahead of time. Imepita miaka kama 13 tangu hawa jamaa waje kwenye game ya muziki na ghafla wakapotea.
Nafikiri kwa ile style yao...
Al Jumaa Mubarak wakuu...
Mwezi uliopita msanii mkubwa zaidi Tanzania Diamond Platnumz aka Chibu Dangote alijinasibu kwamba ataanza kuporomosha mangoma ya hatari kwa kuzingatia soko la ndani na...
Binafsi sikuwahi kufikiria kabisa kuhusu ndoto. Nilikuwa nachukulia kama mauza uzaza ya uchovu na mawazo ya siku nzima. Ila kuna kitu nimekuja kukigundua kwa namna mbili kwanza ni kuwa sina...
AKINYI MUST DIE (NI LAZIMA AKINYI AFE) - 01
Mvua kubwa iliyoambatana na ngurumo,radi na upepo mkali zilikuwa zikilindima Kaskazini mashariki mwa Tanzania katika jiji la Mwanza,maeneo ya...
Kwangu mimi ndio video bora 2023. Kuanzia mavazi location mpaka video quality kichupa ni kali mno. Hongera lovebite
Video ya Lava Lava Ft Diamond Platnumz - Tuna Kikao
Kwa wale wote ambao mapenzi yao yapo ICU baada ya kucheat baby zenu.
Goma la kueleweka la kuombea msahama kwa babe zenu hili hapa la mtu mzima Rick Ross ft Chris Brown- Sorry
Rick Ross"Sorry"...
Ndiyooo!
Siku hizi angalau wasanii wetu wanaimba vitu vya kuburudisha sio zile kila siku kulialia mapenzi.
Ila hizi style za uchezaji kwetu watu wazima zinaweza kukutia wazimu, juzi nimecheza...
Hi - I'm a songwriter with some classical training. I don't write in a classical idiom - I mainly write comedy songs and I'm just starting to branch into jazz and swing. Nevertheless I find that...
RIWAYA: MZEE WA BUSARA MWANDISHI - SULTAN TAMBA
ANGALIZO, Riwaya hii ni ya zamani iliwahi kutamba kwenye magazeti ya kila wiki, leo nimewaletea mpate kuburdika.
MWANZO
NILIHISI kupagawa. Akili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.