Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kisiasa na kijamii, Je, ujumbe huu wa Maalim Nash una reflection yoyote kwenye maisha ya Tanzania kwa sasa? Sikiliza kuanzia mwanzo hadi dakika ya 1:30 -Kaveli-
2 Reactions
37 Replies
2K Views
1.jumba la dhahabu[emoji1241]-Tuesday kiangala 2.siri ya mtungi[emoji1241]-watu wamarekan 3.jua kali[emoji1241]-leah lamata 4.binadamu[emoji1241]-kitale 5.game of love[emoji1241].-musa banz...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
"Mariano Mariano nilikua nampango mmoja ,nikaingia kwa benk nikashika risasi nikasema lala chin bas mm uyo basi mm uyo nikaubeba mzigo naendesha gari na zinanyesha kama mvu" Kma nmekosea...
1 Reactions
4 Replies
287 Views
Je, wajua "The Gods must be Crazy Movie" Muigizaji mkuu wa "The Gods Must Be Crazy", N!xau Toma, alilipwa $300 pekee, ingawa filamu iliyotayarishwa mwaka wa 1980 ilitengeneza zaidi ya $200...
0 Reactions
8 Replies
761 Views
Nisipoteze muda, moja kwa moja kwenye mada. Beat hiyo hapo chini kwa wajuzi unaweza kusikiliza na kutoa feedback, wapi hapako sawa, wapi na nini kimevuruga, nini niongeze na nini nipunguze nk...
1 Reactions
12 Replies
712 Views
Habari zenu waungwana. Nilikua naomba wimbo unaopigwa kwenye misiba ndani ya tamthilia ya huba dstv 160 Natanguliza shukrani
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasalaam, Muziki au matangazo ya kibiashara ni vitu vinaweza kutukumbusha hazina ya muda na mambo mazuri tuliwahi kuwa nayo zamani Binafsi siwezi kulisahau tangazo la dawa ya kuzibia pancha...
8 Reactions
117 Replies
9K Views
Nakumbuka mara ya kwanza kuona tamthiliya ya Iris ilikuwa ni ITV pale mwaka 2013 kama sio 2014 kipindi hicho hata smartphone sina. Nilivyoiona tu mara ya kwanza sijui ilikuwaje lakini tangu hapo...
28 Reactions
60 Replies
11K Views
Uzi maalum Kwa ajili tamthilia ya Unfaithful, Ripoti, Juakali, Huba n.k Uzi tayari # kukumsela
2 Reactions
6 Replies
919 Views
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa, kwamba Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtumia Barua ya wito TRUE BOY likimuhitaji kwa Mahojiano kuhusu Kibao chake kabambe alichokitoa hivi karibuni, bado...
22 Reactions
55 Replies
5K Views
Story inahusisha jamaa wanne na mdada mmoja, kwa pamoja wanakuwa MTU TANO. Jamaa walijihusisha na utoaji wa misaada kwa jamii, si kanisani wala misikitini, kote walialikwa na huko walitoa pesa na...
2 Reactions
8 Replies
846 Views
Nyota zote za angani, zimulike pendo lake Ndege wote wa nyikani, waliimbe jina lake Vipepeo wa kondeni, wasifu uzuri wake Kanifumbata rohoni, mimi kinda mbele yake Mbingu zitamuangaza, maisha...
1 Reactions
6 Replies
660 Views
Hawa jamaa wamejitoa mhanga haswa maana kwa Africa ukiwa mkweli wewe ni adui. Hawa jamaa wamekuwa wakweli sana katika kufumua maovu na uchafu unaifanywa na hawa wachumia tumbo. Hio ndio maana...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Huu ni uzi wa mashari ya nyimbo za zamani zilizoimbwa na bendi za hapa nyumbani na zikapendwa sana na mpaka sasa zinapendwa. Karibuni tujumuike
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Sijui nitaupataje. Unaimbwa na kwaya za kilutheri. Haya ni baadhi ya maneno: "Imetupasa kushukuru mno kwa neema yake....mimi na wewe leo wazima, hiyo ni neema...wenzetu hawapo wamekosa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari za muda Huu wanajamvi Kuna Nyimbo Jina na mwimbaji nimeisahau ni ya muda Kidogo video inaponyesha jamaa na mpenzi wake wameshika mtutu wa bunduki (AK 47) then jamaa anarap ni bonge Moja...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
WAKUU Nilikua natafuta SOUNDTRACK ya movie ya MY DARLING ya Mussa Banzi ndani ya ile movie kaimba yule KIPOFU aliitwa TAFU Eeebwana eeeh lile Beat sijui alinyonga P FUNK MAJANI Maana ni balaa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari nahitaji hizi sebene aliyekuwa nazo anitumie ya kwanza kisanola ya koffi olomide ya pili ulaya ulaya ya twanga pepeta naomba kuwasilisha
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom