Shirikisho la Watumiji Huduma la Kenya (COFEK) limetangaza kuchukua uamuzi baada ya kupokea malalamiko ya mashabiki walioonesha kutoridhishwa na kiwango cha tamasha hilo linalotajwa kukumbwa na...
Karibuni Tena katika story hii
Kama kawaida ni mwanzo mpaka mwisho hakuna kuishia njiani
Kutoka "madam president" na ",kesi ya Mzee Mnyoka"
Ssa Leo tunaanza kisa kingine Cha Mpangaji
Mtunzi ni...
Je, umewahi kushuhudia au kusikia kuwa Bamedi kaolewa?
Leo nimeona niwashuhudie habari hii niliyopitia, ambapo kwa dhamiri yangu toka moyoni nilikusudia kumuoa binti mmoja ambaye ni bamedi na...
Habari wapenzi wa movie, ni mwaka mwengine wa 2023 kuna movie mbalimbali kali zinategemewa kutoka huu mwaka kwa wapenzi wa movie huu mwaka ni wamoto sana
Mwaka 2022 zimetoka movie kali sana...
Dogo anajua sana nimekuwa nikimfuatilia aisee noma. Yeye ana flow za elimu tu hana kujisifia wala kumsema mtu.
Ana kwambia kwenye safari kuna matuta cha msingi saa 24 tumepewa wote..
Jaribu...
Maskini Raiden (Mungu wa mvua) anapigwa mbaya na Scorpion mpala anakufa sijui ni motokombati ipi ile.
Raiden huwa sio mtu wa kupigana yeye anatoaga onyo kumbe mikwara tu kakutana na Scorpio...
Ebu tuongee hapa wakuu!
.
Hivi kwenye Hii Collabo ya Dhahabu nani alimfunika mwenzake!
.
Dully ft Joslin,Mr Blue.
.
Nani alifunika kati ya Joslin na Blue??
Na: Mwalimu Makoba
"NI hadithi kama hadithi za sungura na fisi. Haihusiani na tukio lolote halisi."
Sehemu ya Kwanza
Hapo zamani za kale watu kutoka mbali waliwavamia Wenyeji. Watu hawa...
Wakuu kwema?
Nimetoka kuangalia tangazo la huyu binti anayerudi shule baada ya kupata ujauzito, na kwamba ni kweli haki elimu ni matangazo bora zaidi ya Elimu kwa miaka mingi.
Ni nani...
ENGINEER PETII ( TRUE STORY)
Nilikua Kijana wa Miaka 21. Elimu yangu ya Form 4 tu. Nilijishuhulisha na Uuzaji wa Spare za Magarii Kwenye Duka la baba yangu Mjini Dodoma.
Nilipendelea sana...
Best International Act
Aya Nakamura (France)
Ayra Starr (Nigeria)
Burna Boy (Nigeria)
Central Cee (UK)
Ella Mai (UK)
K.O (South Africa)
L7nnon (Brazil)
Stormzy (UK)
Tiakola (France)
Uncle...
MTUNZI: SHAABAN ROBERT.
WACHAPISHAJI : Tanzania Publishing House. Dar es Salaam.
SURA YA 1
Mfalme Rai
Rai, mfalme wa Ughaibu , alikuwa mfalme namna ya peke yake duniani. Alikuwa na tabia...
Juzi kati nilianza kufwatilia hii show, inanoga kuicheki ila concept yake mna dhani kweli watu wanaishia kuoana baada ya kukutana hapo? au wanaigiza tu?
Kuna upendo hata?
Kama wangekuwa au wana akaunti YouTube, wangekuwa na mamilioni ya viewers na wangekuwa wanajiandaa kuvuna mamia ya mamilioni.
Nadhani watu wameona kipaji cha muziki cha hali ya juu, ni wazi...
Uzi huu ni kwa ajili ya Kuandika Mstari wa Nyimbo yotote Iliyowahi Kuvuma Tanzania au East Afrika halafu Utajibiwa na wataalamu kuwa ni nani aliyeimba wimbo huo.
Nitaanza mimi nikiona mmeshindwa...
Kwa wale wapenda series basi nadhani hiki chuma cha night night ilisukwa ikasukika haswa kama ulipenda jack ryan basi na hii ipende watoto wa mjini wanasema ishi nayo [emoji16][emoji91]
Series...
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe amemtaka msanii wa miondoko ya HipHop nchini kuachana na muziki kama ataendelea kuikosoa serikali.
Kauli ya Mwakyembe imekuja...
bonizacharia.bz@gmail.com.
Wamekuwepo wengi katika tasnia ya muziki hasa muziki wenye radha halisi ya kiafrika, na wamesaidia mengi katika kutangaza utamaduni wenye maadili ya kiafrika, lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.